Nchi gani hii?

Chakula ya wagogo hii. Mikoa isiyofuga wanakula nyama za ajabu sana aiseeee. Unakuta watu wanakula mbwa, nyani, tumbili, konokono, jongoo n.k
 

Ndugu itakuwa wewe uliona kitu inafanana na hiyo lakini sio hao konokono. Kule kwetu visiwani kuna sea food inaitwa MAKOME hiyo inapatikana baharini tu na inafanana na hayo makonokono.
 
Mkuu una uhakika hiyo ni sea food? Hembu angalia vyema jombaa
Mkuu, kwani hiyo kitu ikipikwa inawekwa kwenye kundi gani la chakula.
Ndugu itakuwa wewe uliona kitu inafanana na hiyo lakini sio hao konokono. Kule kwetu visiwani kuna sea food inaitwa MAKOME hiyo inapatikana baharini tu na inafanana na hayo makonokono.
Mkuu, sasa unanilazimisha kukubali kuwa ili MAKOMBE, lihali nilikuwa namshudia mtu akiingiza kijikoko kidogo kwenye hiyo kitu akichonoa na kula...aaaaaaagh, tena usinikumbushe endeleeni nyie kuila hiyo mikitu.
 
Huko huko Kenya hatutumii hakuna huku.Tuliwauzia waChina paka wakafunga soko walisema tuliwauzia wanga.
 
daaadek hivi vitu ndo mtanifanya nisisafiri aisee...! au ukienda nchi za watu unakuwa vegetarian tu!

Ha ha haaa mie nna kanuni moja siku hizi, ukienda mahali ukakuta wenyeji wanatumia kitu flani na hawadhuriki, unajumuika nao tu, ina maana haina madhara. Huyu mdudu huenda akawa mtamu kama firigisi ya kuku, hakuna mfupa hapo.
 
Ni China, hao viumbe wanajulikana kama konkhonhohyuw..ni watamu sana pale unapowachanganya na ndhizyu mhynchanrehyo!!!
 


Sio MAKOMBE ni MAKOME note that
 

Ni kama ulimi wa ng'ombe.


Au kama supu ya mapupu.





Kama kokoto



Kama rosti


Kama mishikaki.


pasta

Hawa hapa wala konokono, cheki miili









 

Ni kama ulimi wa ng'ombe.


Au kama supu ya mapupu.





Kama kokoto



Kama rosti


Kama mishikaki.


pasta

Hawa hapa wala konokono, cheki miili









Mkuu, hao waache wawe na mili kwa kula konokono mimi hata siku moja sikuli hiyo, naishia kwenye prowns tu. Hata China walipotupikia hiyo kitu ilikuwa kwnye sinia yake, na vikula vingine vilikuwepo ikiwepo prowns na majani kama vitunguu fulani ambayo ukila unapiga chafya, miye nilikuwa naishia kwenye vitu ninavyofahamu tu.
 
Ukiwaona hawa siku hiyo huli maeneo hayo.
 
Ghana, Nigeria na nchi nyingi za West Africa wanakula konokono tena ni chakula cha tunu. In reality konokono ina protein nyingi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…