Nchi gani hapa Afrika unatamani siku moja ufike?

Nchi gani hapa Afrika unatamani siku moja ufike?

Nawakaribisheni gongo la mboto mwisho wa lami mje mjionee wenyewe hiyo lami hata haijaishia hapo imesonga Hadi Kwa Nikki wa pili kisarawe!
😁😁😁😁
 
Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
Yaani madem ndo wamekufanya uandike uzi kabisa...si uje hata hapa makumbusho uone ambavyo hujawahi kuona? Hadi waethiopia wenyewe wanashangaa
 
Back
Top Bottom