Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nataka visa ya Sweden, nikasake fursa.
Vipi nipe details kidogo?
Visa ya Sweden nenda ubalozin, uwe na yafuatayo
1. Kama ni safari binafsi
A. Ticket ya ndege kwenda na kurudi
B. Passport ambayo validity yake ina miez zadi ya sita mbele
C. Uwe na bank statement ya meizi mitatu nyuma ambayo kuwepo salio la 35£ per day Kwa siku inazoomba kukaa kule
D.uwe na Travel insurance inayocover 20,000 USD na inacost 180 USD
E. Hotel reservation
F. Sababu ya kukupeleka ama mwaliko au mkutano au metembezi binafsi

Kama umealikwa mtu anaweza kukufanyia Kila kitu,

Ila Kwa uturuki ni rahisi Sana njia zao si complicated hata agent anakutaftia
 
Km unaenda kutafuta maisha na uraia wa huko. Masharti yakoje?
 
Wakuu utaratibu wa kwenda Accra Ghana kwa matembezi ya kama wiki hivi. Nahitaji visa au visa on arrival?
 
Back
Top Bottom