Nchi 11 tajiri Afrika kulingana na GPD

Nchi 11 tajiri Afrika kulingana na GPD

Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
Data za mwaka gani?
 
Halafu nikiangalia magari ya serkali ya kifahari ninapata kichefuchefu.....
 
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b

Haya ni mashindano ya masikini hakuna utajiri wowote hapa. SA hawana umeme mpaka leo sehemu nyingine, Egypt wanapewa msaada na USA kila mwaka!!!
 
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
Ethiopia raia wake wanakimbia daily,
Sioni hata huo utajiri
 
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Côte d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
No.9 na 10 wametupita
 
Hivi inakuwaje gdp ya Nigeria inaporomoka kila uchao?
Mpaka mwaka 2020 gdp Nigeria ilikuwa ni zaidi ya $ 450 bilion lakini ime poromoka mpaka $180bilion ndani ya miaka 4 tu.
Fedha Yao dhidi ya Dola imeporomoka saaaana
 
Tuliwah kuwa hadi nafasi ya tisa miaka ya karobuni,samia hakuna anachoweza
Kutoka 70 Hadi 85 sio kuweza? Ukikimbia na wenzako wanakimbia zaidi.

Ulichonacho na wenzako wanacho zaidi mfano Ghana na Ivory Coast Wana Mafuta,dhahabu na Cocoa
 
Kutoka 70 Hadi 85 sio kuweza? Ukikimbia na wenzako wanakimbia zaidi.

Ulichonacho na wenzako wanacho zaidi mfano Ghana na Ivory Coast Wana Mafuta,dhahabu na Cocoa
Sisi zote hizo tunazo (tuna gesi ambayo ni mbadala wa mafuta na ina thamani sawa na mafuta,tuna dhahabu na migodi mikubwa,tuna cocoa na vanilla pamoja na kilimo kingine.

Kikubwa zaidi nchi yetu ni moja ya nchi zenye rasilimali hadimu zaidi duniani,why tunaridhika na umaskini?hili swali hakuna mtu anayeweza kulaumiwa zaidi ya viongozi wetu tu,sio visionary.Malaysia,Thailand,China hizi nchi hazina rushwa viongozi waadilifu hadi raha na ndio maana wametuacha gape kubwa na wakati tulikuwa sawa tu miaka ya 60
1000030197.jpg
 
Sisi zote hizo tunazo (tuna gesi ambayo ni mbadala wa mafuta na ina thamani sawa na mafuta,tuna dhahabu na migodi mikubwa,tuna cocoa na vanilla pamoja na kilimo kingine.

Kikubwa zaidi nchi yetu ni moja ya nchi zenye rasilimali hadimu zaidi duniani,why tunaridhika na umaskini?hili swali hakuna mtu anayeweza kulaumiwa zaidi ya viongozi wetu tu,sio visionary.Malaysia,Thailand,China hizi nchi hazina rushwa viongozi waadilifu hadi raha na ndio maana wametuacha gape kubwa na wakati tulikuwa sawa tu miaka ya 60 View attachment 3536725
Wenzako wameshaanza uzalishaji wa hizo Mali zao,nyie mumeanza Hadi utake kushindana nao?
 
Back
Top Bottom