Shetani huwa tunamkataa lakini hutujawahi kukana kuwa siyo shetani.LAKINI ndo waziri Mkuu wako kubali kataa
Mwigulu ni katili sanantangu yupo UVCCM huwa nawashangaa sana wajinga wanao mshobokea na maigizo yakeNEVER, MAANA ANA SIF ZA JITU KATLI HAWEZI KU FALL
Kobaz banaKang'ata shuka au
Bomu la Olasiti Arusha. Likamuua yule dada aliyekuwa anainukia vizuri ndani ya CHADEMA.Kumekucha
Ni mwenzetu humu JF, tunaomba amjibu mleta mada!Ninitena guys.
Salaam zako huwa zina mwangwi nyuma yake, je tusubiri yajayo ???Mheshimiwa nakusalimia ✍🏻😁
Britanicca
Kumbe kusalimia ni ugonjwa wa akili/ukichaa!!!??Wewe Jamaa inapaswa Upelekwe Mirembe Kwa ajili ya kupata Matibabu Maana naona una kila dalili ya magonjwa ya akili na kuanza kuchanganyikiwa
CHADEMA ni binadamu, wana UTU ndio maana wanapenda kusalimia.Habari kama hizi Chadema wanazipenda sana. Watashadidia udaku ambao hata hawajui chanzo chake ni nini, halafu baadae utawasikia, "Utambulisho wa Aziz Ki ulikuwa wa kutuondoa kwenye reli"! Pumbavu kabisa!!!
Ngoja tukupe kesi ya ugaidi.Mheshimiwa nakusalimia ✍🏻😁
Britanicca
Hivi yale mawe kwenye barabara kuu yalifutwa? ngoja tuwaulize NEMC kwani jamaa alichafua sana barabara kuu, ikifika 2030 hata nyumbu wa Serengeti wataandikwa jina lakeIt's a good thing kuwakumbuka members wetu humu, na kuwasalimia, pia tatawakumbusha, how active contributors they were, when they were nobody's compared now that they are somebody's big shots in the state, hawachangii tena humu, tuwakumbushe mpanda ngazi.
Mimi mwenzenu namkubali sana huyu jamaa na humu nilieleza https://www.jamiiforums.com/threads...can-make-the-best-president-nimeguswa.860192/
P
Ila wabongooooKang'ata shuka au
Hivi Member Tililah tila si account yake Mwingulu?Mheshimiwa nakusalimia ✍🏻😁
Britanicca
HakikaBomu la Olasiti Arusha. Likamuua yule dada aliyekuwa anainukia vizuri ndani ya CHADEMA.
Wakati huo huo, kuna mwingine alikatwa shingo maeneo ya huko huko.
Historia haipotei.