Nchemba ?

Nchemba ?

It's a good thing kuwakumbuka members wetu humu, na kuwasalimia, pia tatawakumbusha, how active contributors they were, when they were nobody's compared now that they are somebody's big shots in the state, hawachangii tena humu, tuwakumbushe mpanda ngazi.

Mimi mwenzenu namkubali sana huyu jamaa na humu nilieleza https://www.jamiiforums.com/threads...can-make-the-best-president-nimeguswa.860192/

P
Utakua una matatizo ya akili mzee sio bure jamaa kila kukicha anashauri kodi ipande kwenye bidhaa magari yanapanda 100% harafu wewe unakuja na nyuzi zako za kutafuta vyeo.
Mama alipomteua huyo mwingine alimwambia chukua ushauri kwa mtangaulizi wako huyo Waziri wa fedha yupo bosheni tu hapo..
 
Ni kweli nakufa
Ungekuwa utani ningepost chit chat
"*£€¥|•`~£¥π^{} yhwt.

HII NI AMRI YA KUKUONDOLEA KIFO CHA KANSA NA KANSA YAKO KWA UJUMLA.

Utakufa miaka mingi mbele kwa KIFO kingine na sio Cha KANSA. Huna haja ya kunishukuru, enjoy your life.
 
Back
Top Bottom