NCCR wapinga mgao wa Majimbo UKAWA

NCCR wapinga mgao wa Majimbo UKAWA

Nilisema mwanzo huu muungano haupo kwa ajili ya kusaidia wananchi ni muungano wa wataka madaraka tu, ndio sababu wanafukia kila shimo bila maelezo mradi tu waonekane hawana tatizo ndani, lakini ukweli haujifichi ndani ya ukawa wao kwa wao pia hawaaminiani, hapa nawaambia mwisho wa ukawa itakuwa siku ambayo chama chochote kitateuwa mgombea urais kwa nafasi hiyo, hapo ndio wamekaa kutegeana kwa sababu wote ni wapenda madaraka

Nanyie anzisheni umoja wenu kati ya act,tlp,umd,ccm maana naona unaleta jicho lako la husuda dhidi ya ukawa
 
Nilisema mwanzo huu muungano haupo kwa ajili ya kusaidia wananchi ni muungano wa wataka madaraka tu, ndio sababu wanafukia kila shimo bila maelezo mradi tu waonekane hawana tatizo ndani, lakini ukweli haujifichi ndani ya ukawa wao kwa wao pia hawaaminiani, hapa nawaambia mwisho wa ukawa itakuwa siku ambayo chama chochote kitateuwa mgombea urais kwa nafasi hiyo, hapo ndio wamekaa kutegeana kwa sababu wote ni wapenda madaraka
Kama ulijuwa kuwa ukawa haina mashiko mbona bado inaendelea kuwanyima usingizi hadi macho yanawavimba?
 
Ni Mungu ndiye anatuepusha na matatizo yatakayotokana na UKAWA. Mungu ajua kila kitu cha jana , leo na hata kesho. Mungu anaona ni bora CCM kuliko gilba za CHADEMA na wale anaotaka kuwafundisha gilba hizo.

Tuseme wote kwa pamoja ccm kwaheri na karibu sana mpendwa ukawa magogoni
 
Ni bora muungano huo kuliko kuongozwa na ccm.. Ccm wameshindwa kuongoza nchi.. Hii nchi hali ni ngumu ya maisha,, msiongee kwa sababu mnataka kuonekana... hali ngumu kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata katika idara mbali za umma mambo hayaendi...

Acheni waungane wakishindwa tutajua, sio kusema wanafiki,, mbona tanganyika iliungana na zanzibar matatizo kibao mbona umedumu miaka mingi... Change is like growth,, whether you like or not.. You must grow.. So we need change in economic, social and other aspects of life.. Ccm must go for new generation...
 
Lakini NCCR mnalalamika nini? CHADEMA walishapotea pale walipoanza mgogoro na ZITTO na ndiyo maana wakaamua kuotesha Mbegu mpya ya CHADEMA HYBRID wakaiita UKAWA . NCCR mnatumiwa tu kama Karai la zege mwisho wa siku mtatupwa tu.

Waliokwisha potea ni ccm,ambao leo hii viongozi wake wateule wanazomewa na kupigwa mawe na wananchi kama mwizi,ni lini uliwahi kusikia kiongozi yeyote wa cdm anazomewa kama alivyo zomewa juzi dc wenu pale ubungo bus eterminal?
 
Great thinkers mnapoteza muda wenu kujadili habari iliyoandikwa na gazeti la Jambo Leo, gazeti la Ridhiwan JK? Kipeperushi cha CCM, gazeti lenye waandishi wote wa UPE (Uandishi Pasipo Elimu)...gazeti ambalo kila siku linatangaza uongo dhidi ya vyama vya upinzani?

Hao waandishi wanachama wa NCCR wanaodai wametoa tamko ni vijana wa kijiweni na wazee wasioelewa chochote kuhusu UKAWA, na sio wanachama halali wa NCCR-Mageuzi???
 
Lakini NCCR mnalalamika nini? CHADEMA walishapotea pale walipoanza mgogoro na ZITTO na ndiyo maana wakaamua kuotesha Mbegu mpya ya CHADEMA HYBRID wakaiita UKAWA . NCCR mnatumiwa tu kama Karai la zege mwisho wa siku mtatupwa tu.
Pole sana kwa kuendelea kusimama kidete kuwadanganya ndugu zako .
 
Mimi ni chadema dam dam na kadi yangu ni namba 2308533,
Kitu kitakacho ivuruga ukawa ni UROHO WA MADARAKA ngazi ya ubunge na udiwani. Haiwezekani mimi mchadema niliyetymikia chama miaka 8 leo eti ukawa imteuwe kiongozi wa nccr kuwa mgombea wa udiwani kwenye kata yangu.

Rai yangu:
Chadema makao makuu simamieni hili jambo kwa umakini mkubwa kuondoa mkanganyiko huu.

Very interesting.
Sasa hao Chadema Makao makuu ndiyo wasimamizi wa makubaliano hayo kwa upande wa Chadema ndani ya UKAWA. Leo hii unawaambia wawe makini na hilo zoezi. Ukiwa kwenye ushirikiano lazima ukabali kufanya kazi kwa usawa na partners ndani ya shirikisho. Si Chadema ndiyo watateua mwanachama wa NCCR agombee eneo fulani bali UKAWA ndiyo itampitisha baada ya kufanyika kwa uchambuzi makini kulingana na eneo husika. Mimi si msemaji wa Chadema but at least ninaelewa logic inayotumika kwenye hiyo process kama ambavyo imekuwa ikielezwa na viongozi wa UKAWA (collectively).

Kauli yako nafikiri inaonyesha kitu nyuma ya pazia quote
"Haiwezekani mimi mchadema niliyetymikia chama miaka 8 leo eti ukawa imteuwe kiongozi wa nccr kuwa mgombea wa udiwani kwenye kata yangu" (Makoi, S.B, 2015). Yaani wewe inaonekana unatanguliza maslahi yako binafsi badala ya wananchi. Inawezekana kuna kiongozi wa NCCR ambaye yuko pale katumikia wananchi muda mrefu au kukubalika zaidi yako, kwa nini hasipewe yeye lakini upewe wewe? Eti tu wewe ni mchadema!!, REALLY?? Haingii akilini.

Bado ni mapema sana, ukiona policies, rules, regulations, standards, procedures, guidelines, and processes za UKAWA ni ngumu kwa objectives zako binafsi, kwa nini usitimkie CCM, ACT-Wazalendo, TLP, UDP, au chama kingine ambacho hakimo kwenye shirikisho la UKAWA? Nafikiri unaweza ku-meet your objectives nje ya UKAWA. Hujachelewa bado.
 
Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuounga mkono chama cha watu wawili watatu kama MBOWE, SLAA na MTEI.

Kwa akili ndogo ya kushikiwa hata hujui jinsi mchakato wa kusajiri chama hadi kiitwe chama cha siasa.
 
Nilichoki note apa ni kuna watu wameambiana sasa napost habari kuusu Ukawa tuanze ku comment kwa fujo..niwaambieni tu mpango wa mungu kamwe mwanadamu hawezi kuuzuia

Waambie mkuu hawa jamaa wa lumumba maana ndio wana ogopa sana ukawa kwani wanajua ukawa ndio nyundo yao,sijui wamakula maharage gani hawa!
 
Iviii ukawa isipo kuwepo nccr watapata hata majimbo 5?,,,,hapa ni kuheshimiana na kufanya maamuz mazuri tuu

Hawa wote unaowaona wana ushambulia ukawa ni mapandikizi wa kimkakati kuupasua ukawa.
 
Kila siku chadema wanahangaika huku na huku wakifanya mikutano kila aina kuimarisha chama na kutafuta wanachama wapya.Chadema wametawanyika kila sehemu ya nchi mpaka huko Matamba Mwakaleli wamefika, lakini NCCR MAGEUZI naona wamekaa ofisini wanakunywa chai na kupata viyoyozi halafu wanataka wagawane majimbo sawa na Chadema.Hii si ni ajabu sana? Tuwe wakweli jamani!
 
Nakwambia mambo bado, kwani ni mtu mjinga hataona kama kuna tatizo ukawa. Chagadema wapewe 50% ya majimbo na baadaye watoe wagombea wa urais, sasa cuf na nccr mtaambulia nini, si mnatumika kuwapa ulaji hao chagadema?
Tusubili hapo august ambapo mgombea urais wa ukawa atakapotajwa, tuone vumbi litakavyotimuka.

Hakuna mtu mwenye muda mchafu wa kuchukua ushauri wako mchafu huu
 
UKAWA ni kichaka cha kuficha matatizo ya vyama vya upinzani vilivyokataa demokrasia. Ukiangalia hivi vyama vya CHADEMA, NCCR na CUF vinafanana kwa kitu kimoja kikubwa: Hawapendi demokrasia. Kwa hiyo huu ni Umoja wa Kupinga Wanademokrasia ndani ya vyama vya upinzani.

Teeeh,teeeh,kama ccm ilivyo kichaka cha watenda maovu
 
Nakwambia mambo bado, kwani ni mtu mjinga hataona kama kuna tatizo ukawa. Chagadema wapewe 50% ya majimbo na baadaye watoe wagombea wa urais, sasa cuf na nccr mtaambulia nini, si mnatumika kuwapa ulaji hao chagadema?
Tusubili hapo august ambapo mgombea urais wa ukawa atakapotajwa, tuone vumbi litakavyotimuka.

Teeh,teeh,teeh,unajitia mtetezi siyo? Pole sana mchumia tumbo wa lumumba umechelewa
 
Deo Meck Mbagi

kwahiyo wameshatabiri kuwa cdm ndio itateua waziri mkuu???
Huyu jamaa atakuwa ni kilaza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom