NCCR wapinga mgao wa Majimbo UKAWA

NCCR wapinga mgao wa Majimbo UKAWA

Kila chama katika Ukawa kinategemea nguvu ya mwenzake ili kushinda Ubunge...lakini Nguvu kubwa ya ushindi inayotegemewa sana katika Ukawa ni CHADEMA ili vyama vingine vya ukawa viweze kushinda...Bila Ukawa...Nccr inaweza kushinda majimbo 3 tu ya kigoma tena nayo ni hati hati...na bila Ukawa hata Mbatia hatingi bungeni....Mimi natoka Tarime...Tarime hakuna nccr pale..labda Cuf iseme lakini siyo Nccr...

Tunazo taarifa kuwa Mbunge wa Tarime CCM Ndiye aliyewahonga hao jamaa ili watoe hilo tamko...na kuleta mvurugano ili yeye aje ashinde kirahisi...

Tupo pamoja mkuu kwa kutupa hali halisi
 
Haya tulijua yatatokea na haya ni madogo sana na hayana uratibu rasmi bado wanajipanga kuhujumu UKAWA kwa mkakati rasmi.

UKAWA tutatasongo mbele na tutafanya maamuzi yetu kulingana na tukio,mazingira,mtu,nk.

(Varughe vushaa tekinasha icho.)

Ubarikiwe mkuu,
 
Mkuu umenena ni kweli kuna haja kabisa
Ila sijui nisemejehili la kugawana majimbo mimi silihafiki hata kidogo
Kuna jambo naliona mbele kuhusu kugawana majimbo

Mbowe anawatumia NCCR na CUF, Kuviua kabisaaa!
 
Deo Meck Mbagi

Hivi dhamira au madhumni ni ya muungano huu ni nini hasa? Yaonyesha wanaolalamika hawajui hayo! Nilifikiri nia kuu ni kushinda kwa kila mgombea anayesimamishwa kushindana na wa vyama vingine nje ya UKAWA.

Kama ni hivyo basi haijalishi chama gani kimepewa asilimia ngapi bali ikiwa kuna uwezekano wa ushindi. Kuna faida gani kupewa jimbo la uchaguzi mtu ambaye atashindwa. Kuwa ndani ya ukawa siyo tiketi ya ushindi moja kwa moja bali mgombea na chama chake wanakubalikaje sehemu husika.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenena ni kweli kuna haja kabisa
Ila sijui nisemejehili la kugawana majimbo mimi silihafiki hata kidogo
Kuna jambo naliona mbele kuhusu kugawana majimbo

Lengo kuu ni kuiondoa CCM Madarakani.
 
Deo Meck Mbagi

Habari Leo gazeti la CCM,sishangai.Hata hivyo mlisema Mbatia amesusia juu ya mgawanyo wa majimbo akawaumbua.Hamkomi tu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi dhamira au madhumni ni ya muungano huu ni nini hasa? Yaonyesha wanaolalamika hawajui hayo! Nilifikiri nia kuu ni kushinda kwa kila mgombea anayesimamishwa kushindana na wa vyama vingine nje ya UKAWA. Kama ni hivyo basi haijalishi chama gani kimepewa asilimia ngapi bali ikiwa kuna uwezekano wa ushindi. Kuna faida gani kupewa jimbo la uchaguzi mtu ambaye atashindwa. Kuwa ndani ya ukawa siyo tiketi ya ushindi moja kwa moja bali mgombea na chama chake wanakubalikaje sehemu husika.

Tatizo chadema imehodhi mamlaka kamili ya mgao wa majimbo, kama vile yenyewe ndio inavilipia ruzuku na kuvimiliki vyama vyote, na inasahau hata hivyo vyama vimeanzishwa kwa malengo na sera zake, iweje vingojee chadema ichukue asilimia 50? Wao watakuwa ni vyama tu kama vingine na hawana mamlaka ya kuingilia mgao wa ruzuku ya wingi wa wabunge (kama watapatikana) wa chadema, hivyo nao wanayo haki ya kupambana bila kupangiwa au kuratibiwa na Mbowe.
 
Wananchi wapate Maendeleo maana Ufisadi na Mirija yote ya Kinyonyaji itakatwa.

Wapate maendeleo wana chadema au wana NCCR? Maana baada ya hapo, kila chama kina sera zake na malengo, je mtafuata za cuf, nld, nccr au zenu? Na zipi zinzotangazwa kwenye UKAWA? ni sera za maendeleo za chama gani? Huoni huo ni ulaghai tu wa Mbowe na genge lake kuwatumia vyama vingine baada ya hapo anageuka jini kabisa, na nadhani ndiye kiongozi atakayetumia polisi na majeshi kuwazima wenzake wasilete chokochoko. Let's wait.
 
Deo Meck Mbagi

Habari hizi ni za kizushi kabisa kuna uongo mwingine ni wa kijinga sana,tarime hatujawahi kuwa na mtaa unaoitwa mjini kati,pia Mwenyekiti wa nccr mageuz sio mzee nelson Makaranga,ispokua Mwenyekit wa wilaya ni mzee makuli.

sasa magazeti ya ccm yanafanya kila njia hata za kitoto kuchafua ukawa,nishangae kama nccr mageuzi makao makuu wanakubari kupokea upuuzi huu, vilevile tujiulize kama awali ulikua na wabunge 6 sasa ukataget majimbo 30 hapo umepungukiwa?ama umeongeza?kuna baadhi ya Vijana wanaoendekeza tamaa za kuutaka ubunge kwa udi na uvumba ilihali hawataki kushiriki harakati za kujenga vyama vyao.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kuwa chadema ilitumia muda mwingi kujijenga kuliko vyama vingine.
Hata wakiamua kuvunja ukawa bado chadema itakuwa na kura nyingi kuliko vyama vingine vya upinzani.
Zaidi tu ni kuinufaisha ccm kushinda kirahisi.
 
Kumbe source ni kijarida cha vitunbua Habari Leo...!!!!
Najuta kupoteza muda kufungua hii thread ya wanaojitekenya.
 
Mimi natoka Tarime na ndiyo kwetu ukweli uliopo nccr Tarime aipo ilishafutika.
 
Ni kweli kabisa, lakini pia tuangalie hali ya chama hicho wilayani Tarime ikoje? Nashawishika kuamini kuwa tamko hili lina msukumo toka nje ya UKAWA. Ningewaelewa zaidi kama tamko lingetoka, kwa mfano, kwenye moja ya majimbo mkoani Kigoma siyo Mara. Huko walijifia Marando alipoondoka.
Muungano unatakiwa uwe na usawa bila kujali chama gani kina nguvu kias gani, kwakua wapiga kura watachagua mgombea bila kujali anatoka chama gani! ilimradi tu atakae simamishwa anatokea ukawa huo ndio ushirikiano. au nyie cdm hamko tayari kupigia kura wenzenu? kama mkotayar kuna haja gani kujilimbikizia 50$ ya majimbo? muungano uwe na usawa!
 
Tatizo chadema imehodhi mamlaka kamili ya mgao wa majimbo, kama vile yenyewe ndio inavilipia ruzuku na kuvimiliki vyama vyote, na inasahau hata hivyo vyama vimeanzishwa kwa malengo na sera zake, iweje vingojee chadema ichukue asilimia 50? Wao watakuwa ni vyama tu kama vingine na hawana mamlaka ya kuingilia mgao wa ruzuku ya wingi wa wabunge (kama watapatikana) wa chadema, hivyo nao wanayo haki ya kupambana bila kupangiwa au kuratibiwa na Mbowe.
Hizi ni kauli chonganishi kwani chadema wanajiamulia wenyewe au ni ushirikiano wa kujadili ana na kuangalia facts. Yaani masama kana kwamba hivi vya vingine havina maamuzi na ndodocha. Watu wamekuwa wanalalamika kuwa na vyama vingi na wangetaka tuwe na vicheche vilivyo imara ninyi mnakazana kuwa kati she tamaa waendelee kugawanyika!
 
Maaamuzi ya nccr yanatolewa makao makuu sio wilayani TARI,E
 
Deo Meck Mbagi

Nilipoona tu Jina la aliyeweka hii habari nilijua tu ni yale yale.

Kwa staili hii ukiachana na Ubunge unaojitapa kuwa utaupata hapo Tarime,Ni dhahiri hata Udiwani hutaupata.

Ni aibu sana kwa kiongozi wa Vijana kuratibu Tamko la kipuuzi kama hili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom