singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Chadema kweli waroho, kwanini wasingegawana pasu kwa pasu kwa vyama vyote.
Nimeattach gazeti lenye tamko la chama cha nccr mageuzi wilaya ya Tarime kikipinga mgawanyo wa majimbo ndani ya Ukawa.
Ni dhahiri kuwa kuna tatizo kubwa ndani ya ukawa na viongozi wetu hawawi wakweli kuhusu kinachojiri ndani ya vikao, wanachoeleza kwa umma kinatofautiana na uhalisia.
Ni wakati sasa viongozi wa ngazi za Taifa wakawa wanaratibu mambo yao na viongozi wa ngazi za chini. Unafiki unaofanywa na viongozi ngazi ya Taifa hautasaidia kuwa na muungano imara, maana hadi sasa kuna sintofahamu na kujenga juu bila kuwa na msingi mzuri ni sawa na kujenga nyumba yenye paa zuri bila kuwa na msingi imara.
===============
Chanzo: Habari Leo
Gazeti gani limeandika,et habari leo hahaaaaaa gazeti la waandishi uchwara unategemea wana weledi kweli???pfuuuuuNimeattach gazeti lenye tamko la chama cha nccr mageuzi wilaya ya Tarime kikipinga mgawanyo wa majimbo ndani ya Ukawa.
Ni dhahiri kuwa kuna tatizo kubwa ndani ya ukawa na viongozi wetu hawawi wakweli kuhusu kinachojiri ndani ya vikao, wanachoeleza kwa umma kinatofautiana na uhalisia.
Ni wakati sasa viongozi wa ngazi za Taifa wakawa wanaratibu mambo yao na viongozi wa ngazi za chini. Unafiki unaofanywa na viongozi ngazi ya Taifa hautasaidia kuwa na muungano imara, maana hadi sasa kuna sintofahamu na kujenga juu bila kuwa na msingi mzuri ni sawa na kujenga nyumba yenye paa zuri bila kuwa na msingi imara.
===============
Chanzo: Habari Leo
Kama ulijuwa kuwa ukawa haina mashiko mbona bado inaendelea kuwanyima usingizi hadi macho yanawavimba?
Chadema kweli waroho, kwanini wasingegawana pasu kwa pasu kwa vyama vyote.
Hivi kwa akili yako kati ya Lipumba na Slaa nani atakubali mwenzake agombee urais? Kati yao hakuna maana wote wapenda madaraka na hapo ndio itakuwa mwisho wa ukawa, hapa ni muda tu utatoa majibu tuombe uzima
Hili gazeti la lini?
Nimeattach gazeti lenye tamko la chama cha nccr mageuzi wilaya ya Tarime kikipinga mgawanyo wa majimbo ndani ya Ukawa.
Ni dhahiri kuwa kuna tatizo kubwa ndani ya ukawa na viongozi wetu hawawi wakweli kuhusu kinachojiri ndani ya vikao, wanachoeleza kwa umma kinatofautiana na uhalisia.
Ni wakati sasa viongozi wa ngazi za Taifa wakawa wanaratibu mambo yao na viongozi wa ngazi za chini. Unafiki unaofanywa na viongozi ngazi ya Taifa hautasaidia kuwa na muungano imara, maana hadi sasa kuna sintofahamu na kujenga juu bila kuwa na msingi mzuri ni sawa na kujenga nyumba yenye paa zuri bila kuwa na msingi imara.
===============
Chanzo: Habari Leo
Kugawana majimbo au ????
Unaonaje NLD ikaachiwa majimbo 60 ??
Kama ni kugawana , hata zanbar basi Chadema ingegawiwa 10 na Nccr 8 na Nld 5
Mbona cuf kaachiwa yote kule zanzibar
Unaachiwa pale ulipo na nguvu au mtu menye nguvu
Baada ya hapo!?
Nimeattach gazeti lenye tamko la chama cha nccr mageuzi wilaya ya Tarime kikipinga mgawanyo wa f0majimbo ndani ya Ukawa.
Ni dhahiri kuwa kuna tatizo kubwa ndani ya ukawa na viongozi wetu hawawi wakweli kuhusu kinachojiri ndani ya vikao, wanachoeleza kwa umma kinatofautiana na uhalisia.
Ni wakati sasa viongozi wa ngazi za Taifa wakawa wanaratibu mambo yao na viongozi wa ngazi za chini. Unafiki unaofanywa na viongozi ngazi ya Taifa hautasaidia kuwa na muungano imara, maana hadi sasa kuna sintofahamu na kujenga juu bila kuwa na msingi mzuri ni sawa na kujenga nyumba yenye paa zuri bila kuwa na msingi imara.
===============
Chanzo: Habari Leo
Muungano upi tena!Muungano unatakiwa uwe na usawa bila kujali chama gani kina nguvu kias gani, kwakua wapiga kura watachagua mgombea bila kujali anatoka chama gani! ilimradi tu atakae simamishwa anatokea ukawa huo ndio ushirikiano. au nyie cdm hamko tayari kupigia kura wenzenu? kama mkotayar kuna haja gani kujilimbikizia 50$ ya majimbo? muungano uwe na usawa!