NCCR wapinga mgao wa Majimbo UKAWA

NCCR wapinga mgao wa Majimbo UKAWA

Nimeattach gazeti lenye tamko la chama cha nccr mageuzi wilaya ya Tarime kikipinga mgawanyo wa majimbo ndani ya Ukawa.

Ni dhahiri kuwa kuna tatizo kubwa ndani ya ukawa na viongozi wetu hawawi wakweli kuhusu kinachojiri ndani ya vikao, wanachoeleza kwa umma kinatofautiana na uhalisia.

Ni wakati sasa viongozi wa ngazi za Taifa wakawa wanaratibu mambo yao na viongozi wa ngazi za chini. Unafiki unaofanywa na viongozi ngazi ya Taifa hautasaidia kuwa na muungano imara, maana hadi sasa kuna sintofahamu na kujenga juu bila kuwa na msingi mzuri ni sawa na kujenga nyumba yenye paa zuri bila kuwa na msingi imara.

Sasa Tarime kuna NCCR habu tuambie walipata viti vingapi kwenye serikali za mitaa, matamko ya wahuni yanakuwa amplified na wapinzani wa UKAWA, na wewe unayabeba kichwa kichwa, hatutoi majimbo ili chama mishindwe, tutao jimbo kwa chama pale ambapo chama kina nguvu na mtandao wa kushinda. Siyo lazima kwenye UKAWA tukubaliane kila kitu, na viongozi wako wazi juu ya hili.
 
Nilichoki note apa ni kuna watu wameambiana sasa napost habari kuusu Ukawa tuanze ku comment kwa fujo..niwaambieni tu mpango wa mungu kamwe mwanadamu hawezi kuuzuia
 
Nimeattach gazeti lenye tamko la chama cha nccr mageuzi wilaya ya Tarime kikipinga mgawanyo wa majimbo ndani ya Ukawa.

Ni dhahiri kuwa kuna tatizo kubwa ndani ya ukawa na viongozi wetu hawawi wakweli kuhusu kinachojiri ndani ya vikao, wanachoeleza kwa umma kinatofautiana na uhalisia.

Ni wakati sasa viongozi wa ngazi za Taifa wakawa wanaratibu mambo yao na viongozi wa ngazi za chini. Unafiki unaofanywa na viongozi ngazi ya Taifa hautasaidia kuwa na muungano imara, maana hadi sasa kuna sintofahamu na kujenga juu bila kuwa na msingi mzuri ni sawa na kujenga nyumba yenye paa zuri bila kuwa na msingi imara.

Hao ni moja ya wahuni tu.unang'ang'ania uachiwe jimbo wakati hata mtandao wa kushinda haupo hata viongozi wa serikali za mitaa hawakupata hata kiti then anatakd aachiwe.wahuni wasipewe nafasi.
 
Mimi ni chadema dam dam na kadi yangu ni namba 2308533,
Kitu kitakacho ivuruga ukawa ni UROHO WA MADARAKA ngazi ya ubunge na udiwani. Haiwezekani mimi mchadema niliyetymikia chama miaka 8 leo eti ukawa imteuwe kiongozi wa nccr kuwa mgombea wa udiwani kwenye kata ya ngu.

Rai yangu:
Chadema makao makuu simamieni hili jambo kwa umakini mkubwa kuondoa mkanganyiko huu.

Watakuambia wew ni pandikizi Mara umetumwa kuivuruga ukawa hamna mwanachama mwenye kadi inayoanza na 126...subiri waje
 
Kamati ya wilaya ni nani ndani ya chama? Ni visisimizi tu hivyo
 
UKAWA ni kichaka cha kuficha matatizo ya vyama vya upinzani vilivyokataa demokrasia. Ukiangalia hivi vyama vya CHADEMA, NCCR na CUF vinafanana kwa kitu kimoja kikubwa: Hawapendi demokrasia. Kwa hiyo huu ni Umoja wa Kupinga Wanademokrasia ndani ya vyama vya upinzani.
 
Magazeti ya mafisad unategemea yaandike mazuri ya ukawa.wakati ukawa wanawanyima usingizi.
 
Ina maana walitaka wao ndio wapewe hiyo 50% Nyie mapandikizi tuaangalia vigezo na sio kujigawia.
 
Mkuu umenena ni kweli kuna haja kabisa
Ila sijui nisemejehili la kugawana majimbo mimi silihafiki hata kidogo
Kuna jambo naliona mbele kuhusu kugawana majimbo

Nakwambia mambo bado, kwani ni mtu mjinga hataona kama kuna tatizo ukawa. Chagadema wapewe 50% ya majimbo na baadaye watoe wagombea wa urais, sasa cuf na nccr mtaambulia nini, si mnatumika kuwapa ulaji hao chagadema?
Tusubili hapo august ambapo mgombea urais wa ukawa atakapotajwa, tuone vumbi litakavyotimuka.
 
CHAMA IDADI YA MAJIMBO
1. CHADEMA 114

2. CUF 80

3. NCCR- MAGEUZI 33

4. NLD 0

jumla ya majimbo 227
 
Hao ni vibaraka wa ccm,na magazeti ya uhuru na habari leo.tangu lini shetani akamsifu mungu.?
 
Iviii ukawa isipo kuwepo nccr watapata hata majimbo 5?,,,,hapa ni kuheshimiana na kufanya maamuz mazuri tuu
 
Back
Top Bottom