NCCR na Overall CHADEMA na Kombati 2020

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Nimeona vijana wa NCCR wametupia picha za vazi la Overall wakilitambulisha kama vazi lao rasmi la Uchaguzi. Ushauri wa NCCR kuvaa kama EFF ya Malema ulitolewa humu JF. Hongereni kwa usikivu NCCR.

Vazi hili litawabeba na kuwatangaza haraka.
IMG_20200802_191716_945.jpg
IMG-20200802-WA0081.jpg
 
Naona NCCR mnajaribu kujibrand kimavazi huku mkitumia mgongo wa CHADEMA kujitangaza.
Bila kuitaja CHADEMA hamwezi kusikika?
 
Back
Top Bottom