NCCR mageuzi pawaka moto?

Asante ndugu yangu watu wamekuwa ni wavivu wa kufikiri sn wanafanya majumuisho tu wanadhan kila mtu n mwanachama wa vyama vya sihasa uchwara za Tz... Huku wengine wakiona chama chao ndo makini sana ilihali tunawaona wabunge wao wakiwa wanatolewa jasho na ishu km posho kwa kuzani kila anayeingia cdm n msafi toka moyon, hana tamaa, hii n kazi kweli... Jaman tunahitaji ukombozi wa kweli lakin kwa hali hii sijui....
inawezekana kabisa ili mwanasiasa awe safi lazima awe mwanachama wa CHADEMA? Je wale waliotoka vyama vya magamba wakajiunga CDM nao ni wasafi ili mradi tu sasa ni wana-CDM?. Je wanaotoka CDM wakajiunga na vyama vingine wanatoka huko wakiwa wasafi kwenda kujichafua? na Je tusio na vyama ni wachafu au wasafi kama CDM? nauliza hayo maswali kwa vile inaonekana humu JF ukiongelea issue zihusuyo vyama vingine unaonekana kero kwa baadhi ya watu wenye mrengo wao, kutokana na hisia zao ilimradi tu ionekane kuwa Chama fulani ndo bora. mawazo mafinyu hayo tofauti na matarajio ya wengi katika kuelekea kuimarisha umoja, mshikamano na heshima miongoni mwa Watanzania
 
Hivi bado NCCR kinajulikana kama chama cha upinzani????? CCM A , CUF = CCM B , TLP = CCM C , UDP = CCM D and NCCR = CCM E......
 
inawezekana kabisa ili mwanasiasa awe safi lazima awe mwanachama wa CHADEMA? Je wale waliotoka vyama vya magamba wakajiunga CDM nao ni wasafi ili mradi tu sasa ni wana-CDM?. Je wanaotoka CDM wakajiunga na vyama vingine wanatoka huko wakiwa wasafi kwenda kujichafua? na Je tusio na vyama ni wachafu au wasafi kama CDM? nauliza hayo maswali kwa vile inaonekana humu JF ukiongelea issue zihusuyo vyama vingine unaonekana kero kwa baadhi ya watu wenye mrengo wao, kutokana na hisia zao ilimradi tu ionekane kuwa Chama fulani ndo bora. mawazo mafinyu hayo tofauti na matarajio ya wengi katika kuelekea kuimarisha umoja, mshikamano na heshima miongoni mwa Watanzania[/QUOte

Hii mada ya usafi wa wanachama na kuhama vyama iko nje ya thread hii. Anachosema Mungi ni kwamba Mkosamali alikuwa hajajua msimamo wa Mbatia na NCCR kabla hajajiunga sasa ametambua kuwa Mbatia na NCCR yake ni CCM -C. Sasa kipi hakieleweki? Labda cha msingi ni kujua kweli kuna mgogoro? Sababu zake ni nini? Kama NCCR ni CCM-C, si wanachama wote wa NCCR wanafurahishwa na hilo!!
 
hivi mkosamali anataka nini? au naye amashakuwa kama kafulila?.wadau tupata ata muda wa kuwajadili hawa watu isije ikawa ni wasani wa kawaida tu na wanataka kumchafua mbatia

Natoa Tamko: Hata kama threads haina kichwa wala miguu wala haieleweki ila nasema.. wote comment!! . haposasa nataka nione Ritz na Faiza mtacomment nini.. halooo patam..
 
Kama NCCR kunafuka moshi ninaimani muda c mrefu CDM patawaka moto; hizi ni habari njema kwetu chama tawala, kwani tutaendelea kutawala mpaka hapo nabii anayesubiriwa kwa hamu kubwa kuja kuihukumu dunia atakakapokuja. viva CCM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwita mbona naye ni gamba tu, ila anajidai ameasi kambi. Huyu ni Shibuda mwingine, tuweni macho.

Ong'wise! Nimekosa tu kile kitufe cha Thanks sijui hawa jamaa wamekipeleka wapi bwana? Huyu jamaa inabidi tusimwamini sana atakuwa anatusanifu huyu! Eti naye leo anakiponda chama cha magamba!! CHUKUA TAHADHARI!!
 
Cdm moto utawaka muda si mrefu hasa kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti na atakae kuwa wa kwanza kulianzisha Ni Zito Kabwe
 
wewe Thatha nilitaka kukupa kitu lakini nina heshima zangu hapa .Nakuacha uendelee na mawazo yako ya Lumumba pale .Hapa JF umekuja na umesema haya huoni ni uhuru tu ? Ukija japa ukagusa mambo yanayo waumiza watanzania lazima uangukiwe na watanzania si Chedama.JF si Chedama .
 
Kama NCCR kunafuka moshi ninaimani muda c mrefu CDM patawaka moto; hizi ni habari njema kwetu chama tawala, kwani tutaendelea kutawala mpaka hapo nabii anayesubiriwa kwa hamu kubwa kuja kuihukumu dunia atakakapokuja. viva CCM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Cdm moto utawaka muda si mrefu hasa kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti na atakae kuwa wa kwanza kulianzisha Ni Zito Kabwe
Si wagonjwa wa ukimwi tu wanaoishi kwa matumaini hata wagonjwa wa siasa.
 
inawezekana kabisa ili mwanasiasa awe safi lazima awe mwanachama wa chadema? Je wale waliotoka vyama vya magamba wakajiunga cdm nao ni wasafi ili mradi tu sasa ni wana-cdm?. Je wanaotoka cdm wakajiunga na vyama vingine wanatoka huko wakiwa wasafi kwenda kujichafua? Na je tusio na vyama ni wachafu au wasafi kama cdm? Nauliza hayo maswali kwa vile inaonekana humu jf ukiongelea issue zihusuyo vyama vingine unaonekana kero kwa baadhi ya watu wenye mrengo wao, kutokana na hisia zao ilimradi tu ionekane kuwa chama fulani ndo bora. Mawazo mafinyu hayo tofauti na matarajio ya wengi katika kuelekea kuimarisha umoja, mshikamano na heshima miongoni mwa watanzania

wewe si magamba tu
 
inawezekana kabisa ili mwanasiasa awe safi lazima awe mwanachama wa CHADEMA? Je wale waliotoka vyama vya magamba wakajiunga CDM nao ni wasafi ili mradi tu sasa ni wana-CDM?. Je wanaotoka CDM wakajiunga na vyama vingine wanatoka huko wakiwa wasafi kwenda kujichafua? na Je tusio na vyama ni wachafu au wasafi kama CDM? nauliza hayo maswali kwa vile inaonekana humu JF ukiongelea issue zihusuyo vyama vingine unaonekana kero kwa baadhi ya watu wenye mrengo wao, kutokana na hisia zao ilimradi tu ionekane kuwa Chama fulani ndo bora. mawazo mafinyu hayo tofauti na matarajio ya wengi katika kuelekea kuimarisha umoja, mshikamano na heshima miongoni mwa Watanzania

Kwani wanaojivua gamba ni kwa sababu gani kama sio uchafu. Nina wasi wasi na vigezo vyako vya usafi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom