NCCR mageuzi pawaka moto?

Thatha,
Uyasemayo yanawezekana yakawa na ukweli ndani yake, sio wote kwenye CCM na Matawi yake, baadhi ya Vyama Vya Upinzani ni wachafu (Wanaufisadi), hapa tunaongelea HOJA ya Chama, Samaki Mmoja akioza basi wote wameoza maana wanawaambukiza uozo wote wazima. Na hauwezi kujua ubaya wa Mtu au Chama mpaka udili nacho ndio unaona mabaya na mapungufu yake. Jamaa hakuona ambayo anayaona sasa kwa sababu hakuwa ndani ya Chama, Uhuru ambao alikuwa anautegemea angeupata sasa kama anakosa ndio maana anaonekana ni mpinzani ndani ya Chama Chake.
Chama Bora ni kile ambacho kipo karibu na Wananchi na ambacho kinawaondolea watatizo ya Watanzania kama sio kuwapunguzia shida zao, Haya ni Maoni yangu tu na sijaegemea upande wowote

Napenda kuwakilisha

inawezekana kabisa ili mwanasiasa awe safi lazima awe mwanachama wa CHADEMA? Je wale waliotoka vyama vya magamba wakajiunga CDM nao ni wasafi ili mradi tu sasa ni wana-CDM?. Je wanaotoka CDM wakajiunga na vyama vingine wanatoka huko wakiwa wasafi kwenda kujichafua? na Je tusio na vyama ni wachafu au wasafi kama CDM? nauliza hayo maswali kwa vile inaonekana humu JF ukiongelea issue zihusuyo vyama vingine unaonekana kero kwa baadhi ya watu wenye mrengo wao, kutokana na hisia zao ilimradi tu ionekane kuwa Chama fulani ndo bora. mawazo mafinyu hayo tofauti na matarajio ya wengi katika kuelekea kuimarisha umoja, mshikamano na heshima miongoni mwa Watanzania
 
Sasa kama cdm ni wengi humu jamvini unategemea iweje? Mbona na ccm ikiongelewa vibaya kihalali kabisa kutokana ubaza waufanyao watu kama wewe wanaibuka lakini hakuna anayejali? Zaidi watu wanapewa za uso wanasepa kimya kimya...Na wengine wanalipwa fedha oa ccm hapa jamvini ili angalau wapangue mashambulizi lakini wapi pessa inafeli.Umewahi sikia cdm/ccm wakijibizana na mtu ambaye hana chama chochote?. Kama huna chama chochote halafu unalialia kutokana na mawe yanayorushwa gizani,usidanganye watu wewe ndo yamekupata,ingia hapa pambana litakalokupata chukuliana nalo.Umenisoma nh.gamba.
 
hayahayawi sasa yamekuwa, kweli kabisa ndoa zote za CCM nd hizooooo zimeanza kuvunjika bado ya kina mandevu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom