NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

Mdhani wa ligi Bank ya NBC anayo logo yenye Twiga mwenye rangi nyekundu kama damu, Twiga mwenye rangi hii hayupo duniani. Hivyo sio vema Yanga ikaweka Twiga mwekundu kwenye jezi yake..
Na wewe kuna watu wanakutegemea kabisa?
 
Mdhamini wa ligi Bank ya NBC anayo logo yenye Twiga mwenye rangi nyekundu kama damu, Twiga mwenye rangi hii hayupo duniani. Hivyo sio vema Yanga ikaweka Twiga mwekundu kwenye jezi yake...
Watu wa Yanga bhna!

Hatuna Twiga mwekundu ila tuna watu wa Njano, hivi hapo wakati unaandika umeshajiangalia na ukajikuta wa Njano?
 
Watu wa Yanga bhna!
Hatuna Twiga mwekundu ila tuna watu wa Njano, hivi hapo wakati unaandika umeshajiangalia na ukajikuta wa Njano?
umeona vivuli au watu, simba bhana wana ulonyalonya fulani unaokaribiana kufanana kwa mbali na uzuzu.
 
Kweli mkuu bora hata yanga wapo wawili wenye akili kwenu waliitwa wote mbumbumbu

Sisi tuna wawili wenye akili kwenu hakuna hata mmoja
Kwali bhana, Makolo wote hamnazo, eti thamani ya Simba haizidi iliyoko nchini tangu 1936 na yenye washabiki nchi nzima wanapewa sh. 20b kuuza 49% ya ukumbwa wake. Tena hata hiyo 20b jamaa anasikitika kwanini amejitajia hela nyingi mno, na Simba wenyewe wanashangilia sana kwa vifijo na nderemo.
 
20211009_140702.jpg
 
Bendera ya taifa kukosa rangi nyekundu sio kwamba hakuna waliomwaga damu zao wakati tunatafuta uhuru, lakini taifa limeamua kuwa hatuihitaji rangi nyekundu Tanzania kwenye vitu vyetu, baaasi!!!. Nyanga hatuihitaji rangi nyekundu kwenye jezi yetu baaasi!!!
 
Back
Top Bottom