kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 125
- 8
Leo nilikuwa na shida ya vijisenti kwa hiyo kama kawaida nikapita kwa ATM ya NBC LTD ,nikakuta a/c haifanyi kazi kuingia ndani nauliza wanasema wametufungia A/C zetu, mpaka mwenyekiti wa serikali ya mtaa ajaze upya fomu hii hapa.Hii manaake nini? sasa je kwa wale wasafiri ambao wako nje ya matawi yao na wanategemea hizo A/C itakuwaje,hivi pesa yako halafu bank wanaamuua watakavyo wao hii ni halali na si mateso kwa sie tunaojikomba na hawa NBC LTD?View attachment NBCltd.pdf