NBC bank sucks

NBC bank sucks

This is it. I'm through with y'all.

You are a pathetic piece of junk masquerading as a caring, customer-centric financial services provider.

I mean, you don't even have the decency to get back to your customers' inquiries!

Does it cost a fortune to get back to someone you've promised you would?

If your vision is to be the 'Go-To' bank, guess what, you are doing a damn good job at being the 'Don't-Go-To' bank.

Do you even realize that we now have various and sundry options to chose from?

If you do, you sure don't act like it.

Oh well....you've just lost a customer and hopefully you will lose a whole lot more.

CRDB where ya at? Here comes a prospective customer.......

are u serious???!!!
 
Ha ha ha , kweli mkuu, huko unaweza kushangaa account yako imetuna bila kujua hela imetoka wapi. mambo ya escrow hayo. Baada ya escrow sijui kinakuja kitu gani tena.

Zzk amesema kuna kashfa 4...tusubiri.
 
Kwani wewe una hela ngapi huko?Wateja kama JR ndo wana impact wakiondoka benki moja kwenda nyingine

wewe akili yako ni kama wale ma-teller, wanawaza kama wewe ndio maana wanadharau wateja wenye hela ndogo kwenye akaunti.
 
Napata shida sana nikiona maelezo ambayo yana umuhimu na yanapaswa yaeleweke kwa wote yakiwa yametolewa kwa lugha ngeni! Tujirekebishe jamani!

Kwa nini usidhani kuwa ujumbe huu utakuwa umeulenga utawala wa juu wa NBC wenye kuongozwa na CEO Mzambia asiyejua neno hata moja la Kiswahili!!!
 
This is it. I'm through with y'all.

You are a pathetic piece of junk masquerading as a caring, customer-centric financial services provider.

I mean, you don't even have the decency to get back to your customers' inquiries!

Does it cost a fortune to get back to someone you've promised you would?

If your vision is to be the 'Go-To' bank, guess what, you are doing a damn good job at being the 'Don't-Go-To' bank.

Do you even realize that we now have various and sundry options to chose from?

If you do, you sure don't act like it.

Oh well....you've just lost a customer and hopefully you will lose a whole lot more.

CRDB where ya at? Here comes a prospective customer.......
Mkuu pokea like, nimesharudi na hela mara tano nilizotaka kuweka NBC!Kwa sasa nahisi acc wataifunga kwani siiwezi foleni yao, yaani bank masaa matatu mmepanga mstari mko watu 10 si upuuzi huu!Kuna ile simu wameweka wakaandika "Nyanyua hapa kama unashida " sikumbuki vizuri maandishi, siku nikanyanyua nilipigiwa mziki dk 15, si ushuzi huu!Potelea mbali kama mtaifunga ac fungeni tu lakini siwezi kuhangaika kuweka pesa zangu kwa masaa matatu wakt nikienda CRDB nakaa dk 10!Badilikeni mnatulazimisha kuwa na acc kibao bank tofauti wakati hela zenyewe hatuna!
 
KARIBU TANZANIA POSTAL BANK. Utasahau upumbavu wa hizo bank nyingine, trust me!
 
Moja wapo ni ile ya kuiuza NBC kwa billion 15 wakati ilikuwa na fedha taslimu billion 150. Ilikuwa kipindi cha Nkapa. Mwl Nyerere alipiga sana kelele lakini "Mungu" akamwondoa kwa "kansa ya damu".
Vincent Nyerere alitaka kumwaga Mboga Mama Maria akamnusuru Mkapa
 
NBC total rubbish! nimetoa pesa yangu ATM ya ilala mtaa wa SONGEA, ikakataa kutoa pesa, lakini account yangu ikakatwa pesa kama kawaida! nikaenda kudai, unajua nilijibiwa nn, eti wanainvestigate for 45days, i mean 45 working days, total rubbish! kihela chenyewe ni only laki 4. wapumbavu sana, coz i was really in need of that money by then, wananiambia nirudi 19th DEC, nangoja nipate hicho kihela n akufunga account same day. CRDB issue kama hiyo inachunguzwa within 48 hrs pesa yako imerudi, nilishafungua account CRDB kitambooooooo!
 
I hate NBC with a passion .............customer care kama vituo vya polisi ........watu wanajivutavuta na majibu ya mkato.........urasimu kwenye issues ndogo sana ...........nilifunga akaunti yangu binafsi .......kuna kampuni iliyokuwa kongwe pale na deposit za kufa mtu CFO wake akaniambia wanafunga pia .........wanatumiwa hela kutoka abroad kuclear inakuwa issue na majibu ya kizembe zembe ..........:violin:
 
Hata ATM zao mara nyingi hazinaga pesa wakati wa weekend.. kinachowasaidia ni kwamba wana visa
 
Tatizo ni ubunifu ndio benki nyingi zinakosa.
 
cacico hiyo yako ndogo.. Jana kuna mama mmoja alikwenda kuangalia account statement yake kwenye tawi NBC lililoko....... amekuta hela imetolewa zaidi ya 6millions... Cha ajabu anasema hajawahi kupoteza wala kumpa mtu kadi yake... Jamani Benk zote sio salama lakini naona NBC malalamiko ya kuibiwa pesa yamekuwa mengi... Aisee imebidi nihamishe vijisenti vyangu.
 
Last edited by a moderator:
CRDB na kwenyewe yale yale, mimi ku-update password tu ilichukua zaidi ya mwezi, ikabidi niwe napanga foleni. Halafu nilijua ndo benki bora, hapo ndipo nikagundua kila kitu Bongo miyeyusho.
 
Back
Top Bottom