Nyani hongera kwa kufikisha ujumbe kwa ushairi ulioenda shule. Mimi nilikwenda hapo kuomba kuunganishiwa huduma ya e banking ni kichefuchefu! huu ni mwezi wa nane sasa bado cheche. Nimebadilisha branch zaidi ya tatu, watumishi wengine hawajui kama kuna kitu cha namana hiyo, wengine wanakujazisha mafomu lukuki na kukuambia usubiri sms wapi bwana!! hamna kitu. Sasa najiuliza hata kama nataka kuangalia bank statement mpaka nikapange foleni karne ya sasa hivi?
Nakwenda kuchukua dictionary..sasa hivi narudi kukoment
ivi dictionary manake nini vile?
Unapotaka banki statement huwa wanadai ulipie kama ni ya miezi mi3, 6 n.k: swali langu ni; endapo nina internet banking halafu nikajipatia hiyo huduma watanikata hela kunako a/c yangu?Nyani hongera kwa kufikisha ujumbe kwa ushairi ulioenda shule. Mimi nilikwenda hapo kuomba kuunganishiwa huduma ya e banking ni kichefuchefu! huu ni mwezi wa nane sasa bado cheche . Nimebadilisha branch zaidi ya tatu, watumishi wengine hawajui kama kuna kitu cha namana hiyo, wengine wanakujazisha mafomu lukuki na kukuambia usubiri sms wapi bwana!! hamna kitu. Sasa najiuliza hata kama nataka kuangalia bank statement mpaka nikapange foleni karne ya sasa hivi?
Umeandika vizuri sana mkuu... Wasiotaka kuelewa waache, customer service culture kwa kweli NBC hawana mimi nilikua nikienda nashangaa hata washkaj wangu wanajifanya hawanijui na mbaya zaidi nakua nmewapelekea bankers cheque kiasi cha kuipokea tu basi ntasimama hapo kaunta wanajizungusha tu... Mweh!
Mkuu Nyani, vumilia tu maana karibia bank zote nchini hali ni hiyohiyo
Hakuna benki yenye uafadhali, hata CRDB wanaelekea hukohuko
acha ukenge wewe na lugha yako ya wakoloni. Si ungeandika kiswahili tu? Utumwa wa fikra ni mbaya sana
KARIBU TANZANIA POSTAL BANK. Utasahau upumbavu wa hizo bank nyingine, trust me!
CRDB na kwenyewe yale yale, mimi ku-update password tu ilichukua zaidi ya mwezi, ikabidi niwe napanga foleni. Halafu nilijua ndo benki bora, hapo ndipo nikagundua kila kitu Bongo miyeyusho.
This is it. I'm through with y'all.
You are a pathetic piece of junk masquerading as a caring, customer-centric financial services provider.
I mean, you don't even have the decency to get back to your customers' inquiries!
Does it cost a fortune to get back to someone you've promised you would?
If your vision is to be the 'Go-To' bank, guess what, you are doing a damn good job at being the 'Don't-Go-To' bank.
Do you even realize that we now have various and sundry options to chose from?
If you do, you sure don't act like it.
Oh well....you've just lost a customer and hopefully you will lose a whole lot more.
CRDB where ya at? Here comes a prospective customer.......