Jamani vipi wale wa module E ?
.....aise naanza kushawishika kuwa NBAA inafanya kama mradi wa kujipatia pesa haiwezekani idadi kubwa namna hiyo wafail mitihani hiyo
Mbona matokeo yanatisha jamani au ndo kukomoana
Mbona matokeo yanatisha jamani au ndo kukomoana
Hakuna suala la kupewa hints wala nini huwa wanatoa syllabus wewe jaribu kuangalia rate ya ufaulu na failures ndo utajua namaanisha nn haiwezekani idadi kubwa kiasi kile wafail vile zaidi ya robo tatu ina maana nchi yetu itaendelea kuwa na upungufu wa wataalamu wa fani hiyo ya uhasibu.Nafikiri kuna namna ya usahishaji mitihani na kuna vigezo wanaangalia jinsi mtu anavyojibu maswali
kama kawa pius maneno anachinja watu kama hana akili nzuri 62.5% ya watu waliofanya mitihani(module E) wamefail its terrible aise naanza kushawishika kuwa NBAA inafanya kama mradi wa kujipatia pesa haiwezekani idadi kubwa namna hiyo wafail mitihani hiyo
Mode E hawa hapa View attachment 57707
Matokeo mengine haya hapa:
National Board of Accountants and Auditors - NBAA
Mie nlifanya ATEC II, nashukuru nimetoka. Sasa naanza mchakato wa kuitafuta CPA, ukizubaa ntakukuta hapo hapo module E.

ilikua nifanye Attec II mambo yakaingiliana ntafanya NOV.pepa zilikuaje
Examiner's report hii hapa: View attachment 57878
kama kawa pius maneno anachinja watu kama hana akili nzuri 62.5% ya watu waliofanya mitihani(module E) wamefail its terrible aise naanza kushawishika kuwa NBAA inafanya kama mradi wa kujipatia pesa haiwezekani idadi kubwa namna hiyo wafail mitihani hiyo
Hakuna suala la kupewa hints wala nini huwa wanatoa syllabus wewe jaribu kuangalia rate ya ufaulu na failures ndo utajua namaanisha nn haiwezekani idadi kubwa kiasi kile wafail vile zaidi ya robo tatu ina maana nchi yetu itaendelea kuwa na upungufu wa wataalamu wa fani hiyo ya uhasibu.Nafikiri kuna namna ya usahishaji mitihani na kuna vigezo wanaangalia jinsi mtu anavyojibu maswali
Kwani hao examiners wa hizo professional bodies wenyewe wamesomea wapi, si vyo hivi hivi vya bongo?Samahani, sijuwi wewe ni muhitimu wa chuo au taasisi gani hapa duniani?
Kama ni muhitimu wa chuo kimojawpo hapa bongo, basi utakuwa unabisha kitu kilicho wazi kabisa, labda ni kwa vile umezoea kubisha.
Watahiniwa wengi wa vyuo vyetu hapa bongo wamezoea kupewa hints kabla ya mitihani. Ndio maana inakuwa ngumu kufauru mitihani inayoendeshwa na professinal boards kama vile nbaa, procurement board, sisco, acca, cisa, na mengineyo.
Na kama wewe si muhitimu wa chuo kimojawapo hapa bongo, basi waulize wanafunzi wenyewe watakueleza hiki kitu ninachokwambia.
Ili ufauru mitihani ya professional boards inakubidi usome na uelewe. Tafuta class reviews zenye walimu walimu wazur wakufundishe uelewe na sio ukariri.