NBAA result for May 2012 are out

Unatoa takwimu zinazoilinda kada hii ya uhasibu, We have ethics and Standards that need to be adhered to. Quality is the major goal. Heri wafaulu 1% kuliko 99% wenye elimu za kuunga unga vyuoni. HUYU NDO MSEMA KWELI.....

"Proud to be an Accountant"
Uko proud sababu umeishaifaulu hiyo mitihani, ukiambiwa urudie kuifanya uko tayari?
 
Bila kupingana na ww ntaomba ukubaliane na mm kuwa kama ndo hvyo NBAA kuna sehemu wamekosea jinsi ya kuset hiyo bodi yao look at the stats ndo uongee vizuri notwithsanding the fact that ethics and standards need to be adhered to,since 1975 the board has been able to produce 4175(stand to be corrected) graduates katika hali ya kawaida unaweza kusema suala la ethics and standards lakini something somewhere is wrong with the board i assure you
 
Samahani, sijuwi wewe ni muhitimu wa chuo au taasisi gani hapa duniani?
Kama ni muhitimu wa chuo kimojawpo hapa bongo, basi utakuwa unabisha kitu kilicho wazi kabisa, labda ni kwa vile umezoea kubisha.

Watahiniwa wengi wa vyuo vyetu hapa bongo wamezoea kupewa hints kabla ya mitihani. Ndio maana inakuwa ngumu kufauru mitihani inayoendeshwa na professinal boards kama vile nbaa, psptb
, sisco, acca, cisa, na mengineyo.
Na kama wewe si muhitimu wa chuo kimojawapo hapa bongo, basi waulize wanafunzi wenyewe watakueleza hiki kitu ninachokwambia.

Ili ufauru mitihani ya professional boards inakubidi usome na uelewe. Tafuta class reviews zenye walimu walimu wazur wakufundishe uelewe na sio ukari
ri
.

Chuo nilichosomea miaka kadhaa iliyopita sio hoja hapa kwani candidate hulazimika kufanya review classes sasa ama bodi yenyewe haijatoa miongozo inayotakikana kwa hao instructors wa hizo review classes ili waendane na vitu wanavyovitaka pindi mtahiniwa anapojibu maswali kuna mtu ameshafanya hiyo mitihani kwa muda wa miaka saba consecutively sasa utasema haelewi anachokiandika kwenye mtihani?
 
Uko proud sababu umeishaifaulu hiyo mitihani, ukiambiwa urudie kuifanya uko tayari?

Usifanye mchezo hakuna mhasibu ambaye amefaulu hiyo mitihani awe tayari kurudia kuona kama kweli anavielewa vitu wengi/baadhi wametoka kizali usiku alikuwa anapitia maswali katika acca kit kesho yake akakutana na moja au mawili huo ndo ukweli ingawa mchungu
 
...kuna mtu ameshafanya hiyo mitihani kwa muda wa miaka saba consecutively sasa utasema haelewi anachokiandika kwenye mtihani?

Naomba umshauri huyo mtu atafute kozi nyingine kwani hiyo ya uhasibu haiwezi!!! Inaonekana anataka kulazimisha fani kitu ambacho si kizuri kwake na taifa kwa ujumla!! Hujasikia habar za kuanguka kwa majengo yanayojengwa na mainjinia feki????!!!! Mambo kama hayo ya kulazimisha fani ndio yatasababisha wahasibu feki!!!
 
Ndiyo ujue kizazi hiki vichwa vimejaa maji tu!

Katika ule mtihani wa novemba 2011 uliofanyika katika ukumbi msimbazi center jijini dsm, kuna mtu alipiga ukerere mmoja na kuzimia, sijui alikuwa akifanya pepa gani.
 
Naomba umshauri huyo mtu atafute kozi nyingine kwani hiyo ya uhasibu haiwezi!!! Inaonekana anataka kulazimisha fani kitu ambacho si kizuri kwake na taifa kwa ujumla!! Hujasikia habar za kuanguka kwa majengo yanayojengwa na mainjinia feki????!!!! Mambo kama hayo ya kulazimisha fani ndio yatasababisha wahasibu feki!!!

Matter of fact amebakiza somo moja tu ili atunukiwe CPA(T) kukata tamaa wakati mwingine sio vizuri hasa kwa mtu mwenye malengo yake,sio kuwa analazimisha fani ni vile tu mitihani ilikuwa inamuijia vibaya wakati mwingine ameshafutiwa mara kadhaa kutokana na referalls ila amekomaa nadhani kabla ya kubadilika kwa syllabus atakuwa amechomoa hilo somo moja tumuombee ila kwa sasa atakuwa yuko fit zaidi ya mtu yoyote maana hakuna swali ambalo hajalisoma.
 
Usifanye mchezo hakuna mhasibu ambaye amefaulu hiyo mitihani awe tayari kurudia kuona kama kweli anavielewa vitu wengi/baadhi wametoka kizali usiku alikuwa anapitia maswali katika acca kit kesho yake akakutana na moja au mawili huo ndo ukweli ingawa mchungu
sawa sawa, watu ni wazushi sana. hao NBAA examiners wenyewe wangekuwa wanaumiza vichwa kwa kufikiria ni kwa nini kila mwaka tunawasikia watahiniwa wakisema maswali waliyofanya yamekupiwa kutoka mitihani ya acca? LIKE DAD LIKE SON
 
Bila kupingana na ww ntaomba ukubaliane na mm kuwa kama ndo hvyo NBAA kuna sehemu wamekosea jinsi ya kuset hiyo bodi yao look at the stats ndo uongee vizuri notwithsanding the fact that ethics and standards need to be adhered to,since 1975 the board has been able to produce 4175(stand to be corrected) graduates katika hali ya kawaida unaweza kusema suala la ethics and standards lakini something somewhere is wrong with the board i assure you

Naomba uelewwe kua huku hakuna HINTS wala course work, Na wengine wanadai usahihishaji ni mbovu. Lakini kwa taarifa tu, Pepa ya Audit hua na marking scheme zaidi ya tatu. Tatilo la wanafunzi wengi wa vyuoni ni kukariri maswali wakijua yatatoka kama wanavyofanya vyuoni. (Solving pepers), but the unique thing about being an accountant is that IT CHANGES ON TIME BASIS. New standards are incorporated and the Old ones Deleted/ replaced. An accountant needs an updated mind.

Mfano, hadi kufikia 2013 kutakua na IFRS mpya TANO(5) ready to take effect. IFRS 9, IFRS 10, IFRS 11, IFRS 12 na IFRS 13. NBAA inamtaka mtahiniwa ajue current issues kwa kua the profession itself demands for that.
Leo hii mtu aliepata CPA 1990 hawezi kufanya taaruma ya Uhasibu bila updates na hata pepa hatafaulu kamwe. Treatments na presentations ni tofauti kabisa. Jamaa wa NBAA waendeleze kua strict ili kuondoa pirates kwani hawa ndio Financial experts wa makampuni na serikali kwa ujumla. Naomba itambulike pia kua ukiwa na Degree tu ya uhasibu wewe bado hujawa mhasibu na hutambuliki kama mhasibu labda uwe na kampuni yako nyumbani.
 
Ukijipinda kwa masaa chungu nzima kwa siku basi hakuna kinachoshindikana. Ni kweli mitihani yote ya NBAA ni migumu sana ila ukiweka nia basi miaka michache ijayo utafanikiwa kufika kileleni na kuwa CPA (T)...Kila la heri kwa wote ambao mnanuia kufanya mitihani hiyo November mwaka huu na May, 2013.
 
Hakuna suala la kupewa hints wala nini huwa wanatoa syllabus wewe jaribu kuangalia rate ya ufaulu na failures ndo utajua namaanisha nn haiwezekani idadi kubwa kiasi kile wafail vile zaidi ya robo tatu ina maana nchi yetu itaendelea kuwa na upungufu wa wataalamu wa fani hiyo ya uhasibu.Nafikiri kuna namna ya usahishaji mitihani na kuna vigezo wanaangalia jinsi mtu anavyojibu maswali

Very good! Kwa mfano Audit hua na Marking scheme zaidi ya 3. They are looking on how you can argue in your practical practice at work. Angalia Comments zao, Wanafunzi hata kiingereza hawajui wamemeza point tu akitajiwa hiyo point kwenye swali na kuambiwa atoe comments basi chali. Tufanyeje?
 
Naomba uelewwe kua huku hakuna HINTS wala course work, Na wengine wanadai usahihishaji ni mbovu. Lakini kwa taarifa tu, Pepa ya Audit hua na marking scheme zaidi ya tatu. Tatilo la wanafunzi wengi wa vyuoni ni kukariri maswali wakijua yatatoka kama wanavyofanya vyuoni. (Solving pepers), but the unique thing about being an accountant is that IT CHANGES ON TIME BASIS. New standards are incorporated and the Old ones Deleted/ replaced. An accountant needs an updated mind.

Mfano, hadi kufikia 2013 kutakua na IFRS mpya TANO(5) ready to take effect. IFRS 9, IFRS 10, IFRS 11, IFRS 12 na IFRS 13. NBAA inamtaka mtahiniwa ajue current issues kwa kua the profession itself demands for that.
Leo hii mtu aliepata CPA 1990 hawezi kufanya taaruma ya Uhasibu bila updates na hata pepa hatafaulu kamwe. Treatments na presentations ni tofauti kabisa. Jamaa wa NBAA waendeleze kua strict ili kuondoa pirates kwani hawa ndio Financial experts wa makampuni na serikali kwa ujumla. Naomba itambulike pia kua ukiwa na Degree tu ya uhasibu wewe bado hujawa mhasibu na hutambuliki kama mhasibu labda uwe na kampuni yako nyumbani.

Acha majivuno yako wewe.
Hilo somo la Audit unalolizungumzia pale kwenye book shop ya NBAA hakuna reference books hata moja, hakuna hata reference moja ya International Standard of Auditing, unategemea hao wanafunzi watasoma na kuelewa kutoka kwenye source ipi? reference books zote walizoweka kwenye study guide yao havipo bookshop, unategemea wasome nini?

Acha kabisa kuwabwatukia watu wakati hakuna nyenzo za kuwawezesha kusoma kistaarabu, hata wewe mwenyewe hapo eleza ni kitabu gani ulisoma wakati unafanya mitihani ya module E topic ya executorship kwenye Financial Reporting, which reference?
 
Sio kuipata tu, pia nahudhulia Seminar zao. With my heartfelt I can sit again and perfom the same. CPA is all about keeping up with changes. Wengi hamsomi mnakariri Q&A tu.....

Wewe mchango wako kwenye kupropagate fani ya uhasibu nchini ni nini? kwa sababu kwenye ethical guide yenu kuna clause inayomtaka CPA kuwasaidia juniors ili wakue? ndo huwa unajitapa mbele ya hao Juniors namna hii? au kuwasimanga kama unavyofanya hapa? ntakuwa nimekosea nikisema kwamba umebreach one of the key pillar of accounting professionalism in our country?
 
Hahahahaaaa seminar ni kila mtu anatakiwa so kutoenda kwa mwanafunzi ni jeuri dhidi ya elimu yake mwenyewe na ndo maana kuna watu hunyang'anywa CPA
 
Mfano, hadi kufikia 2013 kutakua na IFRS mpya TANO(5) ready to take effect. IFRS 9, IFRS 10, IFRS 11, IFRS 12 na IFRS 13. NBAA inamtaka mtahiniwa ajue current issues kwa kua the profession itself demands for that.
Leo hii mtu aliepata CPA 1990 hawezi kufanya taaruma ya Uhasibu bila updates na hata pepa hatafaulu kamwe. Treatments na presentations ni tofauti kabisa. Jamaa wa NBAA waendeleze kua strict ili kuondoa pirates kwani hawa ndio Financial experts wa makampuni na serikali kwa ujumla. Naomba itambulike pia kua ukiwa na Degree tu ya uhasibu wewe bado hujawa mhasibu na hutambuliki kama mhasibu labda uwe na kampuni yako nyumbani.[/QUOTE]

It's undisputed fact to the above said now you see where the problem lies how many tuition centers(review classes) are able to keep up with the updated changes unless the board is not doing enough job in incorporating new changes and reverting back to the candidates in their respective centers may be i am missing a note here as i said earlier wengi wa watahiniwa hubahatisha maswali kutoka kwenye acca kits wakakutana nayo kwenye mtihani hili utalipinga ila ndo hali uhalisia tuko na professional accountants wengi ambao wamefaulu mitihani tu ila ukimpeleka afanye alichokisomea utashangaa sasa hii nadhani board inastahili lawama kiasi fulani watahiniwa wako busy kusolve past papers tu nothing else.
 
Acha majivuno yako wewe.
Hilo somo la Audit unalolizungumzia pale kwenye book shop ya NBAA hakuna reference books hata moja, hakuna hata reference moja ya International Standard of Auditing, unategemea hao wanafunzi watasoma na kuelewa kutoka kwenye source ipi? reference books zote walizoweka kwenye study guide yao havipo bookshop, unategemea wasome nini?

Acha kabisa kuwabwatukia watu wakati hakuna nyenzo za kuwawezesha kusoma kistaarabu, hata wewe mwenyewe hapo eleza ni kitabu gani ulisoma wakati unafanya mitihani ya module E topic ya executorship kwenye Financial Reporting, which reference?

Bro vitabu vipo, kuhusu Executorship kuna kitabu kinaitwa jina hilohilo EXECUTORSHIP kimechapishwa na ACCA kama huna muda wa kwenda pale hata mimi ninayo copy yake waweza nitafuta, Humu kuanzia page 1 hadi 168 ni concepts na mifano mifupi ya kutosha. After that ndo Q&A ambapo vijana wengi humeza majibu na akikuta hola tayari kaferi.....
 
Mfano, hadi kufikia 2013 kutakua na IFRS mpya TANO(5) ready to take effect. IFRS 9, IFRS 10, IFRS 11, IFRS 12 na IFRS 13. NBAA inamtaka mtahiniwa ajue current issues kwa kua the profession itself demands for that.
Leo hii mtu aliepata CPA 1990 hawezi kufanya taaruma ya Uhasibu bila updates na hata pepa hatafaulu kamwe. Treatments na presentations ni tofauti kabisa. Jamaa wa NBAA waendeleze kua strict ili kuondoa pirates kwani hawa ndio Financial experts wa makampuni na serikali kwa ujumla. Naomba itambulike pia kua ukiwa na Degree tu ya uhasibu wewe bado hujawa mhasibu na hutambuliki kama mhasibu labda uwe na kampuni yako nyumbani.

It's undisputed fact to the above said now you see where the problem lies how many tuition centers(review classes) are able to keep up with the updated changes unless the board is not doing enough job in incorporating new changes and reverting back to the candidates in their respective centers may be i am missing a note here as i said earlier wengi wa watahiniwa hubahatisha maswali kutoka kwenye acca kits wakakutana nayo kwenye mtihani hili utalipinga ila ndo hali uhalisia tuko na professional accountants wengi ambao wamefaulu mitihani tu ila ukimpeleka afanye alichokisomea utashangaa sasa hii nadhani board inastahili lawama kiasi fulani watahiniwa wako busy kusolve past papers tu nothing else.[/QUOTE]

Every accountant knows about the seminars conducted by or recomended by the board. Centres are approved as well, so kinachoendelea ni kwamba Wanafunzi hawahudhulii seminars. Pia NBAA inashauri kijana kusoma for 9months kabla ya kufanya pepa, leo hii wanasoma 3months na ndo maana wanaishia kukariri maswali. Wakusaidieje kijana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom