Na warriors, hawa safari yao ndio inaenda kuishiaBoston celtics
Ugumu gan pacers pumzi ishakataaaFainali bado ngumu
Pacers walikuja motoUgumu gan pacers pumzi ishakataaa
3-3 Natumain umeona ugumuUgumu gan pacers pumzi ishakataaa
kwa kilichofanyika game 4 kilibadirisha kila kitu, game 7 naenda na pacers, japo ngumu kumeza maana okc akiwa kwake ni wa moto sanaMsela Wa Kitaa ulikuja na utabiri wako lakin haujafanya kaz
Pacers Benchi lake limesababisha ushindi bila kusahau ulinzi uliofanywa leo na pacers hawajawahi kuufanya tangu ligi ianze3-3 Natumain umeona ugumu
Ngoja tuone game 7 itakuaje nyumban wa OKC3-3 Natumain umeona ugumu
Pacers hatokubali kufa kizembe, Japo OKC akiwa kwake anatisha tusubiri tuone itakuwa bonge la mechiNgoja tuone game 7 itakuaje nyumban wa OKC