NBA Special Thread: Ligi ya Mpira Wa Kikapu Ya Marekani

NBA Special Thread: Ligi ya Mpira Wa Kikapu Ya Marekani

Play offs zinaanza 19 april.
20250414_160712.jpg
 
Napenda majina ya hizo timu; Timberwolves, Milwaukee, City Thunders, Hornets, Chicago Bulls, Dallas Mavericks...

Shida ya huu mchezo ni muda ambao unakuwaga live.
Muda kweli ni tatizo ila pia station zetu pia haziupi nafasi huu mchezo utakuta habari nyingi ni soka tu. Ila kiukweli basketball ni zaidi ya mpira wa miguu kama unapata promotion hasa NBA ya USA yaani nifull mitupo na burudani tu
 
Back
Top Bottom