Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,919
- 82,227
Njoo nikufunze huu mchezo 🏀🏀Watoto wa ile mitaa mnauita Bakee.🤣🤣
Njoo nikufunze huu mchezo 🏀🏀Watoto wa ile mitaa mnauita Bakee.🤣🤣
😅Watoto wa ile mitaa mnauita Bakee.🤣🤣
HahaGS all the way, japo tunasua sua this season ila nipo na Steph popote aendapo!
View attachment 3300606
Mtawapiku cavaliers wako moto🤣The Bostons we HereView attachment 3300608
Sitaki nicheke Vin 🤣🤣🤣Njoo nikufunze huu mchezo 🏀🏀
Mpira wa kikapu ni zaidi ya mchezo 🏀 raba zipo 😎 wewe tu sogelea kigamboniSitaki nicheke Vin 🤣🤣🤣
Poa.. na Soup muhimuMpira wa kikapu ni zaidi ya mchezo 🏀 raba zipo 😎 wewe tu sogelea kigamboni
Mixer Broccoli 🥦 ziwe nyingi hapo unapata nguvu ya kupiga Jump Shots za kutosha kwenye kikapu😎😎Poa.. na Soup muhimu
Hatuna nia ya kuwapiku….The playoffs are here Baby!! Be ready.Mtawapiku cavaliers wako moto🤣
Cavs hawacheki na mtu msimu huuMtawapiku cavaliers wako moto🤣
Huyu jamaa huwaga ni mzima kichwani kweli?.GS all the way, japo tunasua sua this season ila nipo na Steph popote aendapo!
View attachment 3300606
Mtoa mada usijekubali huu uzi wako ulale. Fanya kuleta matokeo ya kila mechi kwa wakati.Haha mida ya wanga