ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,467
- 28,902
NBA Ilianzishwa mnamo Juni 6, 1946, kama Chama cha Mpira wa Kikapu cha Amerika (BAA), ilipitisha jina la NBA mnamo 1949 baada ya kuunganishwa na Ligi pinzani ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL).
Timu za NBA zimegawanyika mara mbili katika Eastern Conference na Western Conference. Katika msimu wa kawaida timu huchuana bila ya kujali conference hadi pale msimu unapoisha na kuingia play-offs wa timu nane bora za kila conference kuchuana kutafuta mshindi mmoja wa play-off kutoka Eastern Conference atakutana fainali ya NBA na mshindi wa play-offs wa Western Conference.
Eastern Conference
Boston Celtics
Brooklyn Nets
New York Knicks
Philadelphia 76ers
Toronto Raptors
Chicago Bulls
Cleveland Cavaliers
Detroit Pistons
Indiana Pacers
Milwaukee Bucks
Atlanta Hawks
Charlotte Hornets
Miami Heat
Orlando Magic
Washington Wizards
Western Conference
Denver Nuggets
Minnesota Timberwolves
Oklahoma City Thunder
Portland Trail Blazers
Utah Jazz
Golden State Warriors
Los Angeles Clippers
Los Angeles Lakers
Phoenix Suns
Sacramento Kings
Dallas Mavericks
Houston Rockets
Memphis Grizzlies
New Orleans Pelicans
San Antonio Spurs