Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

Dah,walikuwa wanawaangalia kinoma,ni tofauti na walipokuwa wanakuja madent wa dini zingine wenyewe walikuwa na uhuru kidogo
Kweli wale maustaadh walikuwa wanatulinda sana.
Wakati tukiwa mule shuleni hata kusalimiana na mtu ni kosa,na wakati wa kuondoka tunasindikizwa.

Walikuwa maustaadh haswa.
 
Nilisoma pale mwaka 2004-2007 nadhan ilikuwa Ni sawa na jehanamu ndogo...ila kiukwel napakumbuka sanaaa
Ni kweli mkuu, enzi za Burieta na jeshi lake la akina Sebastian Masawe, shoo, mkuburo, Lyaruu, Franc ilikua hatari sana[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Umenikumbusha mbali mkuu class 2004-2007 Lyamungo university waliibatiza vijana wenyewe kipindi INA wanafunzi wengi mpk unashindwa kujua yupi RAIA na yupi mwanafunzi, hapo aggrey kipindi hcho kuna MTU alikua anaitwa Puff Ada huyo Dom leader huyo baba usiombe upangiwe aggrey wakati naripoti tulipelekwa Amri Abeid sasa Dom leader si wakatufata kuuliza kila MTU dom lake daaa kwa sifa za aggrey jamaa tulieripoti nae akatoa chchte asiende aggrey daaa, jaman mnamkumbuka Masai
 
Wewe nae umbea umekuzidi,wenzio tunapita kimya kimya wewe hadi uvunje ukimya.
Nilishtuka sana,75 ndio kazaliwa mama yangu.
Halafu mzee bado anaweza kutype na kuperuzi.
Yuko vizuri.
Hahahahh 75 anafundisha shule daaah halafu yupo jf mzee wa dotcom huyu ataku anakimbilia 70 hivi [emoji23] [emoji23]
 
Wewe nae umbea umekuzidi,wenzio tunapita kimya kimya wewe hadi uvunje ukimya.
Nilishtuka sana,75 ndio kazaliwa mama yangu.
Halafu mzee bado anaweza kutype na kuperuzi.
Yuko vizuri.
75 kazaliwa mama yako heeee[emoji15] jirani utakuwa mdunchu sana around 20s
 
Nilikuwa natamani kujua story za iyunga,je huko nako kulikuwaje na sasa pakoje?
michepuo wanayofundisha iyunga?
kijana wangu amechaguliwa kujiunga ktk hiyo shule form one 2017.
Iyunga bhana kwa sasa ni kama seminary tu nafikiri ubabe umepungua

Ila enzi zetu ilikuwa ni shida aisee hahahah hasa kwa fomwaniii(ndivyo wanavyoitwa)

Mambo mengine yanashabiana na huyo maelezo ya jamaa hapo juu

Lakini kwa sasa nafikiri displine imetake place kwa hiyo usiwe na hofu na kijana wako kikubwa mpatie msaada wa kisaikolojia ataweza kuishi vizuri tu

Halafu mpatie mahitaji muhimu akitulia kwa ile shule atafaulu safi kabisa

Enzi zetu kupata div one ilikuwa jambo la kawaida unakuta mtu mtata sana lakini mbele ya pepa harembeshi


Mtafute mama mmoja ukimpeleka pale anaitwa madam kimani unaweza kumuomba awe watchdog wa mwanao

All in all maisha ya bweni shule za serikali ni kama jeshi tu hahahah

Levavi oculos
 
Kati ya sehemu ambazo nimepita katika maisha yangu achilia mbali familia yangu na zikaniharibu completely na nimeshindwa kabisa kurecover ni pamoja na Lyamungo!.....Umenitonesha kidonda mkuu!......mwili mzima umetetemeka!.....Sidhani hata kama jela kuna mateso ya namna hiyo!!.....nakumbuka niliotaga rasta kipindi hicho!!......it looked like death for me at that time!!.........Kuna wanafunzi wawili walikuwa wanaitwa Nicolous Karisha pamoja na Emanuel Temu they saved me,Mungu awabariki popote walipo,they were real friends of me!
Nicolaus karisha zimemfikia ucjal......c yle mpare?hahahhaha pamoja mkuu
 
Mzee wa mwendo kasi huyo[emoji12]
Lakini Facebook anasema ana miaka 35 tena sharobaro la viguguti[emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante kwa tusi lako ndiyo elimu yetu ya siku hizi.
 
Mm nilisoma pale mwaka2002-2005 nilikua naishi bweni LA aggrey ebwane ctamsahau Dom leader Wa lile bweni ndugu Masai....jamaa alikua anapiga mikanda yle cjawah ona
 
Kama umepita shule hizi hapa tanzania,basi we tayari uko kwenye jeshi la akiba,maana maisha ya huko na jeshni hayana tofauti.
lyamungo
umbwe
old moshi
mara sec
musoma tech
iyunga tech
magamba
ndanda
tosamaganga
kilimanjaro boys
same
kibiti
pugu
minaki
mirambo
songea boys
 
Back
Top Bottom