Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Noooooo dah ,Poleni sana ndugu yangu sikutegemea kukutana na jibu la hiviKamanda kashatangulia mbele ya haki mwenzi wa tisa 23 mwaka huu
Mungu amlaze mahali pema peponi ,hakika kwa wema wake na upendo aliotuonyesha na kutulea kwa hekima Old Moshi siwezi kusahau