Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

Hiyo LYAMUNGO ni shida tupu.ni jana tu wameleta vurugu na wanafunzi wote wamefukuzwa nyumbani
 
Haha!, nasikia mkubwa Isaya ni head master siku hizi sipatii picha hao madogo labda kama kaacha ubabe yule jamaa sitamsahau japo kanisaidia sana mambo mengi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka sana, namkumbuka sana huyu jamaa enzi zake.
 
Back
Top Bottom