Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

Lyamungo Shule yetu,
Mchepuo wa Kilimo,
Pamoja na fani zingine,

Elimu tuipatayo....
Tuzingatue nidhamu,..
Kwani ndicho kipimo chetu.....


Viva Lyamungo....nimepakumbuka Fish pond, TacRi,Swiming pool...Kombo na "kusolve sheet"

Pole mkuu kwa dhahma, Lyamungo ilikuwa kama Pre-JKT
 
Kijana umenikumbusha mbali niliondoka hapo 2006 advance... kuku wa mwalimu Mota wanatujua siye ni Akina nani... otherwise nikipata mda nitarejea pale kuwasalmia... Kuna walimu tuliwapa shida sana.. mwalimu nyela mmoja wapo... ila mwl Temba Alikuwa swaiba ila mlevi mpaka analia tukimwambia swimin limeibiwa... Marenge second master Alikuwa ananipa raha sana mkikutana mtaani ukigeuka hakutambui na mtaongozana mpaka shule maana anaangalia chini.. Francis alituunga na mademu wa machame looh tulifaidi..
 
Hahahahah Maelezo yako yanashahiana na shule nilisoma Mimi inaitwa iyunga technical IPO mbeya pale waulize watu Wa mbeya watakuambia kuhusu hostoria ya ile shule hasa ubabe wake dhidi ya shule za kata kalobe ,itende na Meta sekondari hahaha


Tulikuwa tunajipooza kwa loleza aka loz
 
Mimi nilifundisha hesabu Lyamungo 1975 hadi 1977 (Enzi za Mtui na Liviga). Shule ilikuwa yakistaarabu sana. Ila nikiri swimming pool ilionekana na kuanza kutelekezwa. Shughuli au elimu ya kilimo ilikuwa inakwenda vizuri kwa hiyo msosi fresh ilikuwepo.

Suala la ubabe na mateso nakubaliana na wewe kwa sababu utaratibi wa nidhamu ulipewa maana tofauti si mashuleni (sector ya elimu) pekee bali serikalini kote.

Samahani lakini ukweli nitausema 1977 kilizaliwa chama cha mapinduzi kipindi hicho hicho jumuia ya Africa ya Mashariki ilikufa. Kulikuwa na vuguvugu la vita na Uganda. Kisiasa chama kilishika hatamu. Kwa hiyo kulikuwa na mambo na changamoto nyingi sana.

Ikafuatia kufunga mikanda kwa maana ya changamoto za uchumi. Unaweza kujiuliza haya yana uhusiano gani na hoja yako. Kifupi yana uhusiano

1. Yako siyo isolated case ni hali ya taifa zima hususan kielimu kwa kukosekana kusustaon ideals za matakwa ya kielimu.

2 Kushindwa kuhimili changamoto za nabadiriko . Kitaalam tunasema failure ya kumanage transition. Hili linatuathiri hadi leo.

3. Ile shule ilikuwa ya KNCU mchepuo wa Kilimo. Lakini ilipinduliwa kusudio la awali na kurundikiwa jukumu lisilofanana na mazingira. Kwa hiyo kulihitajika usimamizi madhubuti ambao haukuwepo na haukuwepo.

Faida uliyopata moja ni ukomavu unaweza kukabiliana na mazingira yo yote magumu.

Hata hivyo nakupongeza maana umepikwa na tanuru la changamoto. Natumaini huna kinyongo maana umevuka ukiwa ngangari. Ila kwenye maisha kuna changamoto zaidi ya hizo za Lyamungo.

Naipenda Lyamungo ya KNCU
Utakuwa babu wewe heheheh 75[emoji15] duuuh
 
Lyamungo na Umbwe ni kama Nsumba na Bwiru.
 
Wewe nae umbea umekuzidi,wenzio tunapita kimya kimya wewe hadi uvunje ukimya.
Nilishtuka sana,75 ndio kazaliwa mama yangu.
Halafu mzee bado anaweza kutype na kuperuzi.
Yuko vizuri.
Mzee wa mwendo kasi huyo[emoji12]
Lakini Facebook anasema ana miaka 35 tena sharobaro la viguguti[emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimesoma maeneo ya jirani na Lyamungo,hakika mtoa mada umenikumbusha mbali sana.

Tulikuwa tunakuja sana kila jumamosi kupata da'awa kutoka kwa maustaadh wa Lyamungo,walikuwa wanatupikia vizuriiiiii wali maharage
Hahahaaaaaa

Yote uliyoyasema ni kweli kabisa.
I miss those days
Kuliwa mlianza siku nying sana
 
Mbona haujataja wapiga nyeto poleni sana mlio soma boys school mabafu yalipata shida sana
 
Back
Top Bottom