Nawezaje ondoa maneno yaliofichwa kwenye screen shot

Nawezaje ondoa maneno yaliofichwa kwenye screen shot

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Wataalam kuna mtu kanitumia chat ina maneno kaweka rangi nisiyaone nahisi kuna uwezekano wa kuondoa ile paint nikasoma alichoficha .

Msaada wenu tafadhali.
 
Kakutumia wapi!?.. Jua kujieleza vizuri usaidike!.
 
Muombe akutumie screenshot original ambayo hajaiedit, lakini kufuta hyo rangi usome kilichofichwa hapo utakesha
 
Muombe akutumie screenshot original ambayo hajaiedit, lakini kufuta hyo rangi usome kilichofichwa hapo utakesha
Mwambie achukue mafuta taa afute juu kwenye hiyo screen ya cm maandishi anayotaka yatafutika[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Labda hackers wanaweza kugonga codes kumunipulate hiyo image...
 
Jaribu kuosha simu yako na maji yenye sabuni nyingi
 
Back
Top Bottom