Ungekuwa na aleji ingekuwa simple sana sijala nyama toka 2002
Allegy gani ya nyama hyo jaman? mimi sipend beef...ila nyama nakula jamaniNimemaliza mwezi saivi sili nyama sababu ya alej
Allegy gan ya nyama hyo jaman?m sipebd beef...ila nyama nakula jaman
Kila jambo linaanzia kwako, maamuzi. Hakuna mtu atakusaidia mbinu, bila wewe kuamua. Sili nyama mwaka wa 11 sasa. Isipokuwa nakula samaki. Chakula changu kikuu ni matunda, hasa usikuWana JF Habari,
Naomba kupata mawazo yenu hapa,,nimekuwa nikijaribu mara nyingi sana kuacha kula nyama yaani kuwa vegetarian lakini nimeshindwa. Kuna kipindi nilijitahidi kuacha kwa wiki mbili tu lakini bado nikarudi kula nyama choma ya ng'ombe na mbuzi na makange ya kuku kama kawaida. Napenda kuacha kula nyama kabisa sababu;
1.Huwa kuna nyakati naona kama kuchinja wanyama ni ukatili na kuwasababishia maumivu
2.Wanyama wakati wa kuchinjwa huwa wanakuwa na hofu sana hivyo kusababisha adrenaline kusambaa mwilini mwao ambayo sio afya kwa mwili wa binadamu. Ndio maana nyama huwa zinapuliziwa madawa zikiwa machinjoni ili zisiharibike mapema zikiwa buchani (sababu adrenaline hufanya nyama ianze kuharibika mara baada ya mnyama kuchinjwa)
3. Wanyama wengi hukuzwa kwa madawa makali siku hizi; ni kama kuona ng'ombe ambaye hajazaa na anatoa maziwa mwaka mzima!!! hii ni hatari sana....
4.Virutubisho tunavyovitafut kwenye nyama vipo kwa wingi sana kwenye vyakula vingine kama maharage,choroko n.k.
5.Nyama za wanyama huwa zinakuwa na magonjwa mengi ambayo mnyama alikuwa nayo mfano rift valley fever, mafua ya ndege, n.k
Kwa wale ambao wamefanikiwa kuacha kabisa kula nyama anipe njia nzuri na mimi niache nyama kabisaaaa...
Karibu sana, kula nyama kunaleta matatizo kibao, alafu huwezi sikia mtu ambaye hali nyama eti analalamika kuhusu nyama.Nimemaliza mwezi saivi sili nyama sababu ya alej
Karibu sana, kula nyama kunaleta matatizo kibao, alafu huwezi sikia mtu ambaye hali nyama eti analalamika kuhusu nyama.
Ni kuamua tu sitaki kula nyama na uanaacha.Wana JF Habari,
Naomba kupata mawazo yenu hapa,,nimekuwa nikijaribu mara nyingi sana kuacha kula nyama yaani kuwa vegetarian lakini nimeshindwa. Kuna kipindi nilijitahidi kuacha kwa wiki mbili tu lakini bado nikarudi kula nyama choma ya ng'ombe na mbuzi na makange ya kuku kama kawaida. Napenda kuacha kula nyama kabisa sababu;
1.Huwa kuna nyakati naona kama kuchinja wanyama ni ukatili na kuwasababishia maumivu
2.Wanyama wakati wa kuchinjwa huwa wanakuwa na hofu sana hivyo kusababisha adrenaline kusambaa mwilini mwao ambayo sio afya kwa mwili wa binadamu. Ndio maana nyama huwa zinapuliziwa madawa zikiwa machinjoni ili zisiharibike mapema zikiwa buchani (sababu adrenaline hufanya nyama ianze kuharibika mara baada ya mnyama kuchinjwa)
3. Wanyama wengi hukuzwa kwa madawa makali siku hizi; ni kama kuona ng'ombe ambaye hajazaa na anatoa maziwa mwaka mzima!!! hii ni hatari sana....
4.Virutubisho tunavyovitafut kwenye nyama vipo kwa wingi sana kwenye vyakula vingine kama maharage,choroko n.k.
5.Nyama za wanyama huwa zinakuwa na magonjwa mengi ambayo mnyama alikuwa nayo mfano rift valley fever, mafua ya ndege, n.k
Kwa wale ambao wamefanikiwa kuacha kabisa kula nyama anipe njia nzuri na mimi niache nyama kabisaaaa...
Nafikiri anachomaanisha yeye ni kutokula nyama zote, sio baadhi.Kwanza hata siitaman nakula zangu nyama ya kuku au samaki basiii
Safi ghete ngosha.
Ni kuamua tu kwisha maneno.Wana JF Habari,