Nawezaje kuwa Vegetariani (Kuacha kula nyama)

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,706
7,990
Wana JF Habari,

Naomba kupata mawazo yenu hapa, nimekuwa nikijaribu mara nyingi sana kuacha kula nyama yaani kuwa vegetarian lakini nimeshindwa. Kuna kipindi nilijitahidi kuacha kwa wiki mbili tu lakini bado nikarudi kula nyama choma ya ng'ombe na mbuzi na makange ya kuku kama kawaida. Napenda kuacha kula nyama kabisa sababu;

1. Huwa kuna nyakati naona kama kuchinja wanyama ni ukatili na kuwasababishia maumivu

2. Wanyama wakati wa kuchinjwa huwa wanakuwa na hofu sana hivyo kusababisha adrenaline kusambaa mwilini mwao ambayo sio afya kwa mwili wa binadamu. Ndio maana nyama huwa zinapuliziwa madawa zikiwa machinjoni ili zisiharibike mapema zikiwa buchani (sababu adrenaline hufanya nyama ianze kuharibika mara baada ya mnyama kuchinjwa)

3. Wanyama wengi hukuzwa kwa madawa makali siku hizi; ni kama kuona ng'ombe ambaye hajazaa na anatoa maziwa mwaka mzima!!! hii ni hatari sana....

4. Virutubisho tunavyovitafuta kwenye nyama vipo kwa wingi sana kwenye vyakula vingine kama maharage, choroko n.k.

5. Nyama za wanyama huwa zinakuwa na magonjwa mengi ambayo mnyama alikuwa nayo mfano rift valley fever, mafua ya ndege, n.k

Kwa wale ambao wamefanikiwa kuacha kabisa kula nyama anipe njia nzuri na mimi niache nyama kabisaaaa. Vegans tuje hapa
 
"Wanyama ni marafiki zangu, nami siwezi kula marafiki zangu" Nina miezi mitano sasa toka niache kwa hiari matumizi ya nyama.

Wewe uroho bado unakusumbua ndiyo maana huwezi kuacha hadi sasa.
 
Wana JF Habari,

Naomba kupata mawazo yenu hapa,,nimekuwa nikijaribu mara nyingi sana kuacha kula nyama yaani kuwa vegetarian lakini nimeshindwa. Kuna kipindi nilijitahidi kuacha kwa wiki mbili tu lakini bado nikarudi kula nyama choma ya ng'ombe na mbuzi na makange ya kuku kama kawaida. Napenda kuacha kula nyama kabisa sababu;

1.Huwa kuna nyakati naona kama kuchinja wanyama ni ukatili na kuwasababishia maumivu

2.Wanyama wakati wa kuchinjwa huwa wanakuwa na hofu sana hivyo kusababisha adrenaline kusambaa mwilini mwao ambayo sio afya kwa mwili wa binadamu. Ndio maana nyama huwa zinapuliziwa madawa zikiwa machinjoni ili zisiharibike mapema zikiwa buchani (sababu adrenaline hufanya nyama ianze kuharibika mara baada ya mnyama kuchinjwa)

3. Wanyama wengi hukuzwa kwa madawa makali siku hizi; ni kama kuona ng'ombe ambaye hajazaa na anatoa maziwa mwaka mzima!!! hii ni hatari sana....

4.Virutubisho tunavyovitafut kwenye nyama vipo kwa wingi sana kwenye vyakula vingine kama maharage,choroko n.k.

5.Nyama za wanyama huwa zinakuwa na magonjwa mengi ambayo mnyama alikuwa nayo mfano rift valley fever, mafua ya ndege, n.k

Kwa wale ambao wamefanikiwa kuacha kabisa kula nyama anipe njia nzuri na mimi niache nyama kabisaaaa...
Kila jambo linaanzia kwako, maamuzi. Hakuna mtu atakusaidia mbinu, bila wewe kuamua. Sili nyama mwaka wa 11 sasa. Isipokuwa nakula samaki. Chakula changu kikuu ni matunda, hasa usiku
 
Wana JF Habari,

Naomba kupata mawazo yenu hapa,,nimekuwa nikijaribu mara nyingi sana kuacha kula nyama yaani kuwa vegetarian lakini nimeshindwa. Kuna kipindi nilijitahidi kuacha kwa wiki mbili tu lakini bado nikarudi kula nyama choma ya ng'ombe na mbuzi na makange ya kuku kama kawaida. Napenda kuacha kula nyama kabisa sababu;

1.Huwa kuna nyakati naona kama kuchinja wanyama ni ukatili na kuwasababishia maumivu

2.Wanyama wakati wa kuchinjwa huwa wanakuwa na hofu sana hivyo kusababisha adrenaline kusambaa mwilini mwao ambayo sio afya kwa mwili wa binadamu. Ndio maana nyama huwa zinapuliziwa madawa zikiwa machinjoni ili zisiharibike mapema zikiwa buchani (sababu adrenaline hufanya nyama ianze kuharibika mara baada ya mnyama kuchinjwa)

3. Wanyama wengi hukuzwa kwa madawa makali siku hizi; ni kama kuona ng'ombe ambaye hajazaa na anatoa maziwa mwaka mzima!!! hii ni hatari sana....

4.Virutubisho tunavyovitafut kwenye nyama vipo kwa wingi sana kwenye vyakula vingine kama maharage,choroko n.k.

5.Nyama za wanyama huwa zinakuwa na magonjwa mengi ambayo mnyama alikuwa nayo mfano rift valley fever, mafua ya ndege, n.k

Kwa wale ambao wamefanikiwa kuacha kabisa kula nyama anipe njia nzuri na mimi niache nyama kabisaaaa...
Ni kuamua tu sitaki kula nyama na uanaacha.
 
Wewe ukisikia kuna ajali mbaya wahi fasta kaangalie kinaweza kuwa kianzio kizuri.
 
Wana JF Habari,

Naomba kupata mawazo yenu hapa,,nimekuwa nikijaribu mara nyingi sana kuacha kula nyama yaani kuwa vegetarian lakini nimeshindwa. Kuna kipindi nilijitahidi kuacha kwa wiki mbili tu lakini bado nikarudi kula nyama choma ya ng'ombe na mbuzi na makange ya kuku kama kawaida. Napenda kuacha kula nyama kabisa sababu;

1.Huwa kuna nyakati naona kama kuchinja wanyama ni ukatili na kuwasababishia maumivu

2.Wanyama wakati wa kuchinjwa huwa wanakuwa na hofu sana hivyo kusababisha adrenaline kusambaa mwilini mwao ambayo sio afya kwa mwili wa binadamu. Ndio maana nyama huwa zinapuliziwa madawa zikiwa machinjoni ili zisiharibike mapema zikiwa buchani (sababu adrenaline hufanya nyama ianze kuharibika mara baada ya mnyama kuchinjwa)

3. Wanyama wengi hukuzwa kwa madawa makali siku hizi; ni kama kuona ng'ombe ambaye hajazaa na anatoa maziwa mwaka mzima!!! hii ni hatari sana....

4.Virutubisho tunavyovitafut kwenye nyama vipo kwa wingi sana kwenye vyakula vingine kama maharage,choroko n.k.

5.Nyama za wanyama huwa zinakuwa na magonjwa mengi ambayo mnyama alikuwa nayo mfano rift valley fever, mafua ya ndege, n.k

Kwa wale ambao wamefanikiwa kuacha kabisa kula nyama anipe njia nzuri na mimi niache nyama kabisaaaa...
Ni kuamua tu kwisha maneno.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom