Nawezaje kuwa informer wa Usalama wa Taifa?

Sio kwa nchi hii
 
Idea nyingine aanzishe ofisi ya upelelezi wa ndoa zenye michepuko yaani mtu ANAKUPA pesa unamfuatilia mke wake na ku mtrace km shida ni hela atabahatisha
Sijui kama sheria za bongo zinaruhusu private investigator
 
 
Ni Pm
 
Kwanza unajiunga na shiwaladu, pili kama mpaka sasa hawajakutafuta basi jua huna potential. Tatu, muulize Zitto Kabwe, alikuwa karibu sana na Jack Zoka enzi zile yuko mguu nje mguu ndani. Nne, kwanini unataka kutumikia idara ambayo kazi yake haipo tangible? Hautakuwa frastrated ukiona taarifa zako hazifanyiwi kazi? Sijawahi kutamani hii kazi, sina asili ya usnitch
 
Anza kuwa informer katika mazingira unayoishi haswa nyumbani kwako au katika familia yako ninavyofahamu mimi kila mtanzania ni informer
 

Labda Informer wa JF atatusaidia zaidi katika hili kwani ni ' Mjuvi ' japo sijajua kama na Yeye ni ' Informer ' wa huko huko ulikokutaja. Ni matumaini yangu atatujibu ili na sisi ' Mangumbaru ' tusiojua chochote tuweze kuokoteza okoteza ' tuwili tutatu '.
 
Wamekusika coz wapo wengi humu.

Mkuu kumbe ' tunadukuliwa ' nao sana humu? Nilikuwa sijui kama tunao humu humu JF na sasa nitaanza kuwa makini kwani ' Jamaa ' nawaogopa mno na hawashindwi kitu kama wakiamua. Asante kwa kunifunua akili leo juu ya uwepo wao humu Jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…