Nawezaje kutumia 'Go Fund Me' nikiwa Tanzania?

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
441
758
imejiunga na mtandao wa Go Fund Me katika harakati za kujaribu kutafuta fund ya wazo langu la kijamii.

Ishu nimekwama nikianza kufanya process ya fundraising nakosa option ya kuweka nchi ya Tanzania.

Mliowai tumia go fund ebu nisaidieni.
 
Back
Top Bottom