Usisumbuke sana mkuu kwani kupitia uzi wako huu, Rais,wasaidizi wake na taasisi kwa ujumla watakuwa wameuona uzi wako watakujibu jinsi ya kufikisha mawazo yako kwa urahisi, nasema hivi kwa sababu kama wanaweza kuona matusi mitandaoni yanayowahusu sidhani kama watashindwa kuuona uzi wenye nia ya kushiriki kujenga Tanzania bora. Ni imani yangu mitandaoni hawako kwa ajili ya kutafuta matusi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app