nawezaje kupunguza matiti makubwa

toa tenda ya kunyonyesha kwa watoto wasio na mama..
upate hela kwa kutumia hayo matiti...

halafu unaweza kushiriki kwenye

matangazo ya biashara ya bra
au vitu vingine kama hivyo...

kama huna la kumsaidia kimawazo bora utulie
 
Mshukuru Mungu kwa hiyo zawadi. Wadada wengine hasa ulaya na marekani wanatafuta kuwa na mzigo mkubwa kama wako mpaka wanakunywa madawa na wengine madawa hayo yanawadhuru. Please, jipokee, jipende na kujithamini. Hutaona shida!
 
JF Doctor,

nina swali kwako,mimi no binto wa miaka 35 ,nimeolewa na nina watoto wawili.Tatizo langu ni kuwa matiti yangu ni makubwa sana ,naomba unisaidie nifanyeje kupunguza matiti yangu kwa kuwa yananikosesha raha

Ni mama/mwanamke, binti ni under 18!
 
JF Doctor,

nina swali kwako,mimi no binto wa miaka 35 ,nimeolewa na nina watoto wawili.Tatizo langu ni kuwa matiti yangu ni makubwa sana ,naomba unisaidie nifanyeje kupunguza matiti yangu kwa kuwa yananikosesha raha

Tubadilishaane; siriasi natamani maziwa Makubwa ya asili sio silicon lakini! Kwa mtazamo wangu maziwa yanakufanya uwe more feminine kuliko flat chest! Be proud madam! Watu wanatumia hadi mamilioni ili wapate kifua kilichojaa.
 
Hilo tindi ndo zuri si pimii shemeji anapokua ana likanda nadhani hujiona yupo peponi.Kwa kifupi acha kujichukia shukuru kwa ulicho nacho.
 
Wewe upo dunia gani; bado hujajua kuwa matiti makubwa ni dili. Wenzio wanachoma sindano yawe makubwa wewe unataka kupunguza. Yaache hivyo hivyo mimi nayapenda!!!!!!!!!!!

mwambie jamaa apunguze kuyanyonya au ndo starehe yake pole xana au ka vipi fanya diet huwa yanapungua

Duh, yaani mie napenda sana demu mwenye matiti makubwa na sijali kama ameolewa au la. Usipunguze, iko siku Mungu atatukutanisha uone jinsi gani ulivyobahatika

Kwani ulipo search online umeshindwa pata jibu? Kama bado jaribu basi itakusaidia kujua na side effects na experience za watu waliofanya

toa tenda ya kunyonyesha kwa watoto wasio na mama..
upate hela kwa kutumia hayo matiti...

halafu unaweza kushiriki kwenye

matangazo ya biashara ya bra
au vitu vingine kama hivyo...

yani mmeo ameyapenda ndo akakuoa, afu we unataka uyakate!!?

POLE SANA,
KAMA YANAKUSABABISHIA MAUMIVU ONANA NA MADR ILI USHAURIWE NINI CHA KUFANYA.

ILA KUNA KITU SIJAKUELEWA ,UMEEJIITA (BINTO NAHISI ULIMAANISHA BINTI ) HUKU UKIWA NA MIAKA 35?
JAMANI HIVI MWANAMKE MWENYE MIAKA 35 ANASIFA YA KUJIITA BINTI KWELI ???.
mmmh!!! na wa miaka 15 atajiitaje?


mi nadhani wengine msiokuwa wataalamu mkae kimya kusubiri jibu.. kutoka kwa wataalamu! ama kwa mtu mwenye ufahamu na hili jambo sio lazima kila post u comment post nyingine inabidi mtu akubali zipo nje ya uwezo wake wa kufikiri...! :tape:
 
MNUU, hilo nano neno umeona eeh! mimi mwenyewe nilitaka kuuliza but nikaona nitamkwaza bure, ila mwanamke aliyezaa sio binti tena jamani, na wasiozaa nao wajiteje?
 
Nenda india apollo hospital ukafanyiwe boob job siku hizi pesa yako tu, tena kupunguza ni rahisi coz huwekewi plastic yoyote wanapunguza nyama tu hizo
 
Dada tulia na maziwa yako ni muhimu sana na wengine tukiyaona tunachanganyikiwa
 
Dada unamkosoa mungu? Usipojikubali nani ataktkubali, acha ushamba, kwan hayo matiti watoto hawanyony? Unataka upunguze il iweje! Mumeo kakupenda vle ulvyo, ila kuna dawa za kchna tafuta unywe!
 
khaa yaani 35 unajiita bint hedh yenyewe imebaki 5 years asee,unapenda ujana
 
niongezee kwenye ya kwangu maana naona hayanitoshi<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/love.gif" border="0" alt="" title="Love" smilieid="220" class="inlineimg" />
<br />
<br />
majibu mengne yanakwaza. Ungekuwa karibu ningekutandka kofi. Kwani lazma uchangie. Mwenzio yupo serious.
 
MNUU, hilo nalo neno umeona eeh! mimi mwenyewe nilitaka kuuliza but nikaona nitamkwaza bure, ila mwanamke aliyezaa sio binti tena jamani, na wasiozaa nao wajiteje?
BINTI ni neno la kiarabu linalomaanisha jina lililotajwa ni la mwanamke kwa mfano Asha BINTI Kassim,Fatuma BINTI Rassuli.na kuonesha anayezungumziwa ni dume la mbegu tu100 neno BIN. Kwahiyo mtumiaji hajakosea.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom