nawezaje kupunguza matiti makubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nawezaje kupunguza matiti makubwa

Discussion in 'JF Doctor' started by kapuchi, Apr 13, 2011.

 1. k

  kapuchi Senior Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  JF Doctor,

  nina swali kwako,mimi no binto wa miaka 35 ,nimeolewa na nina watoto wawili.Tatizo langu ni kuwa matiti yangu ni makubwa sana ,naomba unisaidie nifanyeje kupunguza matiti yangu kwa kuwa yananikosesha raha
   
 2. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,061
  Likes Received: 8,545
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha...we kafanye surgery
   
 3. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wewe upo dunia gani; bado hujajua kuwa matiti makubwa ni dili. Wenzio wanachoma sindano yawe makubwa wewe unataka kupunguza. Yaache hivyo hivyo mimi nayapenda!!!!!!!!!!!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Pole mama ila nakushauri uridhike na maumbile yako kwani ni mazito? Ukianza kuhangaika utaishia kupata shida zaidi! Yaone ni ya kawaida tu wala si mzigo usijeingia katika gharama za maisha!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mwambie jamaa apunguze kuyanyonya au ndo starehe yake pole xana au ka vipi fanya diet huwa yanapungua
   
 6. m

  msambaru JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Nadhani sehemu ya mambo haya ipo ndani ya JF mapenzi na urafiki. Hapa ni political issues tu au co mazeee?
   
 7. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwanza kubaliana na umbo la ukubwa wa matiti yako, na uyapende.wacha kbs mawazo ya kupunguza kwani wenzako wanayatafuta hayo makubwa.
   
 8. c

  chaArusha Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Duh, yaani mie napenda sana demu mwenye matiti makubwa na sijali kama ameolewa au la. Usipunguze, iko siku Mungu atatukutanisha uone jinsi gani ulivyobahatika
   
 9. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwani ulipo search online umeshindwa pata jibu? Kama bado jaribu basi itakusaidia kujua na side effects na experience za watu waliofanya
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama nimemwelewa vizuri yamezidi ukubwa!Mama yangu mdogo alishauriwa na daktari wake apunguze kwasababu yalikua yanamsababishia maumivu ya mgongo.Kila kitu kikizidi ni tatizo kwahiyo dada kama sio kwaajili ya muonekano tu..yani yanakusababishia maumivu fanya mpango ufanyiwe upasuaji.Sijui kama kuna njia nyingine ya kupunguza!
   
 11. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,061
  Likes Received: 8,545
  Trophy Points: 280
  Ahahaahaha,jaaaamani
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  toa tenda ya kunyonyesha kwa watoto wasio na mama..
  upate hela kwa kutumia hayo matiti...

  halafu unaweza kushiriki kwenye

  matangazo ya biashara ya bra
  au vitu vingine kama hivyo...
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ni pesa yako tu mdada yanapunguzika ila sijajua kwa bongo ni hosptali gani waweza fanya kama upo Uk nadhani ni paundi 4,000 :A S-key:
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  kazi ya Mungu haina makosa
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Hili hata mimi nimewahi kulisikia pia, lakini kama ukiamua kufanya upasuaji basi hakikisha mtaalamu utakayempata ana uzoefu wa upasuaji kama huo maana matapeli wako wengi na matokeo yake yanaweza kuwa si mazuri.
   
 16. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  yani mmeo ameyapenda ndo akakuoa, afu we unataka uyakate!!?
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo hata kama ye yanamsababishia maumivu aache ili kumfurahisha mume?
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hayo matiti yako yana ukubwa kiasi gani? DD, DDD, EE, au? Hebu nipe vipimo vyake ili niweze kukupa ushauri muafaka.
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tehetehetehetehetehe!!!! Uwiiiiiiiii. Nakufa mbavu zangu jamani!!!! Kweli ukiwa Jf hufi kwa presha, sukari, stroke wala stress!! Daaah mbarikiwe sana wapendwa.
   
 20. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  POLE SANA,
  KAMA YANAKUSABABISHIA MAUMIVU ONANA NA MADR ILI USHAURIWE NINI CHA KUFANYA.

  ILA KUNA KITU SIJAKUELEWA ,UMEEJIITA (BINTO NAHISI ULIMAANISHA BINTI ) HUKU UKIWA NA MIAKA 35?
  JAMANI HIVI MWANAMKE MWENYE MIAKA 35 ANASIFA YA KUJIITA BINTI KWELI ???.
  mmmh!!! na wa miaka 15 atajiitaje?
   
Loading...