Nawezaje kupata watoto mapacha?

Ktk kizazi chetu, walizaliwa mapacha 3, m1 alifariki wamebaki 2 ni watu wazima kwa sasa,
Na hao mapacha m1 wapo amezaa mapacha mara 2.

Ila kule kwetu kuna dawa ya asili unatumia, inaitwa "mgelengano, ukiweza masharti yake unazaa mapacha vizuri tuu.
Hii dawa hata ukitumia kwa mifugo wanazaa mapacha tu kila uzao wao.
 
Basi nifanye niwe baba wa watoto wako
 
Nzuri hii, Je mikoani inaweza kupatikana hiyo dawa?
 
Kumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…