Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

Mkuu hata kutunga uongo tu huwezi

Acha utapeli wewe

Mi najua mwanzo mwisho jinsi simu inavyofuatiliwa na polisi hadi kuja kupatikana

Kwanza ni askari maalum ndio wana mamlaka ya kufanya hivyo
Kumbuka imei inatakiwa kuwa tracked kwenye mitandao yote
Sasa raia atawezaje kufanya hiyo kazi ya kwenda kwenye mitandao kuomba info za wateja?

Labda mwizi awe fala asifute acc ya google ndio utampata
 
Hata mimi mkuu toka mwaka jana mpka wa leo wakuu msaada wenu pls kila kitu kipo hadi RB ipo
Mimi nilienda polisi nikapeleka imei namba kila kitu ila polisi ni wavivu kishenzi kufuatilia kesi wanakupija kalenda tu..wanawaza kuhongwa ..sanasana kuipata ni connection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wengine mna bahat aisee aubuna ndugu police nn mkuu mbona wengine majanga tu mpaka tunataka kutaperiwa
 
Kweli dar washamba hawaishi.

Yaani ni kama wale jamaa wanakusanyaga watu na maspika kwamba wanauza dawa za kutoa sumu mwilini.kila walipo unakuta nyomi la kufa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu, umeongea kwa uchungu [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msiishi kwa kuwaamini watu simple simple hapo ashakupiga pole sana [emoji23][emoji23][emoji2772]etii simu iflashiwe alafu uipate [emoji2955][emoji2955][emoji2955] uongo huo .

Sent using [Oppo A3s]Jamii Forums mobile app[/url]
 
Hawa wezi jf hawataisha wanakuja na maneno mazuri kumbe ovyoo.

Sent using [OppoA3s]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…