Zanzibar ndio mahali sahihi kukutana na kuoa wazungu lakini pia cheza maeneo ya Arusha na uwe katika tasnia ya utalii, wenzako huko wameoa na kuolewa na wazungu sana na kuna hadi jumuiya ya waliooa/kuolewa Ulaya huko Arusha na Moshi.Naomba tumia busara kunijibu
Mimi Nina shahada yangu safi TU.
Nina a lot of busines idea.
Ila changamoto kubwa ni mtaji
Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu
Baada ya penzi kunoga naweza kupata mtaji na kutoboa
Nipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata nimetumia tinder naona namatch na mala ya a wa kibongo wanaojiuza
Matusi sijibu
Hello Mr black where are you.Naomba tumia busara kunijibu
Mimi Nina shahada yangu safi TU.
Nina a lot of busines idea.
Ila changamoto kubwa ni mtaji
Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu
Baada ya penzi kunoga naweza kupata mtaji na kutoboa
Nipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata nimetumia tinder naona namatch na mala ya a wa kibongo wanaojiuza
Matusi sijibu
Hasa TikTok,aende huko,tena wengine wa bure,ni kajali mkataba tu.Hata wazungu wanaojiuza wapo mitandaoni
Ukiwa na sh 400000 unapataNaomba tumia busara kunijibu
Mimi Nina shahada yangu safi TU.
Nina a lot of busines idea.
Ila changamoto kubwa ni mtaji
Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu
Baada ya penzi kunoga naweza kupata mtaji na kutoboa
Nipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata nimetumia tinder naona namatch na mala ya a wa kibongo wanaojiuza
Matusi sijibu
acha wivuWe unayo mingapi mpaka sasa?
Hii story ni ya uongo, watu wanaitumia sana kukatisha tamaa wengine.ni mtazamo wako skupingi ila ujue kuna saa ukimpata utatumikishwa kama punda ...skia hiki kisa.
Jamaa mmoja toka Arusha alikuwa Mwongoza watalii baadae akapata kasha ngazi ka kizungu kaka peleka Ulaya na kumwahidi kazi ila alipo fika jamaa akafungiwa ndani ikawa kazi yake ni ku m s e..KS Tu yule shangazi wa kizungu.
fikiria Ulaya wanafanya kazi kwa masaa anaenda kazin anakaa masaa 3 akirudi Ni se..KS Tu ..anatoka tena akirudi ni se..KS Tu ..Baadae Rafiki yake wa kike akamtembelea yule mzungu mwenzake Akaona Kumbe Kuna se..KS toy jeusi Hapa ..na yeye akawa anakuja kwa kujiiba anampa jamaa na kumwahidi vitu ..kadha ikafika mahali Jamaa miguu ikakosa nguvu ya kusimama..Akaanza kuomba tu Mungu bora arudi Bongo ..baadae yule alie mpeleka Ulaya akashtukizia mchezo akavunja urafiki na mwenzake ..yule rafiki yake Akaona haiwezekani bora tukose wote akatoa
siri Jamaa akarudishwa bongo akamsaidia yule mwamba kurudi
OK moral of the story
Unaweza kwenda kuwa se..KS toy Huko Ulaya .
kuhusu stori Hii niambiwa na mtu kutoka Arusha sasa ctaki mtu aanze kusema ..tea ni coffee Au Ni soda ..Angalia moral of the story .
Mbona kama unaka apumuliweKULA VIZURI,JENGA MWILI UWE NA KIFUA KIPANA, SIX PACKS NA ONGEZA UNENE NA UREFU WA MSHEDEDE....ANZA KUPOST PICHA INSTAGRAM(ZIWE KALI)
MWEZI MMOJA DM YAKO IMEJAA MISHANGAZI YENYE HERA
Kuna story zingine bana! Haya ngoja tuone...labda yule dada alikuwa dominant na jamaa aliambiwa awe submissive lakini inaeza kuwa kahawa hiiHii story ni ya uongo, watu wanaitumia sana kukatisha tamaa wengine.
Mwenzako na huu uzee wangu nimefuga rasta, ndani ya wiki moja tu baada ya kuweka tangazo facebook nikampata mtoto mkare balaa kutoka kwa kichaa Trump. Sasa hivi nipo nahangaika kutafuta nauli ili nimtumie aje Lushoto tuendeleze maisha.Naomba tumia busara kunijibu