Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,068
- 43,510
hayo matangazo yanatokea ukiingia kwenye browser na internet au popote? mfano ukichat whatsapp pia yanatokea?
Mkuu ni popote...nikiwa natumia fb app, jf na hata sms za kawaida!!hayo matangazo yanatokea ukiingia kwenye browser na internet au popote? mfano ukichat whatsapp pia yanatokea?
Ukiona hutak shida sana,flash tu simu uanze upyaWadau nimeanza kupata hii shidView attachment 419028View attachment 419029a toka juzi, natumia Tigo na simu ni note 4..hizi ads zimekuwa kero na pia zinanipeleka direct google play na muda mwingine ads za porn zinakuwa displayed!!
Je solution ya hii kitu ni nini??
ninavyofahamu simu za qualcomm virusi havina ujanja vinakaa tu kama app ya kawaida.Mkuu ni popote...nikiwa natumia fb app, jf na hata sms za kawaida!!
Uko sahihi Chief ila mi nadhani ili kuepusha usumbufu zaidi angefanya factory reset...... haya matatizo huwa ni ya mediatek kama low end za huawei na tecno..... sijawahiona hii shida kwa qualcom.ninavyofahamu simu za qualcomm virusi havina ujanja vinakaa tu kama app ya kawaida.
nenda setting halafu apps halafu downloaded app angalia app usioijua halafu itoe

Bila shaka ni note fake yenye processor ya mediatek, nina experience ya kuletewa simu kama hizi kama tatu hivi, pamoja na kuflash kwa kutumia stock rom bado zilijirudia hii tabianinavyofahamu simu za qualcomm virusi havina ujanja vinakaa tu kama app ya kawaida.
nenda setting halafu apps halafu downloaded app angalia app usioijua halafu itoe
kikijieka kama system app hata ukifanya factory reset haisaidii sababu tayari kinakuwa ni part ya firmwareUko sahihi Chief ila mi nadhani ili kuepusha usumbufu zaidi angefanya factory reset...... haya matatizo huwa ni ya mediatek kama low end za huawei na tecno..... sijawahiona hii shida kwa qualcom.![]()
roothv n kuroot au kuboot
mmmhuuu....Auhitaji Adaway Sasa..Isee!!Mkuu ni popote...nikiwa natumia fb app, jf na hata sms za kawaida!!
pitia na huu uzi mwongozo; kuondoa matangazo kwenye app kwa kupatch apk namna ya kuondoa adsWadau nimeanza kupata hii shidView attachment 419028View attachment 419029a toka juzi, natumia Tigo na simu ni note 4..hizi ads zimekuwa kero na pia zinanipeleka direct google play na muda mwingine ads za porn zinakuwa displayed!!
Je solution ya hii kitu ni nini??
Labda sijakuelewa vizuri,naanzia wapi naishia wapiMie nafanyaga hivi Hatua ya kwanza iroot hiyo simu
Ukisharoot niambie
Hilo tatizo linatokea kwasababu kuna application umezi install zinazo ruhusu ads kwenye screen na hii hutokea baada ya kuwasha data tu basi ads zina move kwenye screen
Unachotakiwa kufanya nenda kwenye kila application uliyo install afu nenda kwenye application info afu switch off notification ikishindikana tumia opera min browser kwenye setting kuna sehemu ya kublock ads
Kila laheri unapotumia smartphone yako
Ahsante, ngoja nijaribu na mie make nakereka kupita maelezoHilo tatizo linatokea kwasababu kuna application umezi install zinazo ruhusu ads kwenye screen na hii hutokea baada ya kuwasha data tu basi ads zina move kwenye screen
Unachotakiwa kufanya nenda kwenye kila application uliyo install afu nenda kwenye application info afu switch off notification ikishindikana tumia opera min browser kwenye setting kuna sehemu ya kublock ads
Kila laheri unapotumia smartphone yako