Ramlis
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 612
- 532
na mm jinsi ya kuroot samsung galaxy note 1
Jaribu upitie hapa www.theandroidcop.com/how-to-root-samsung-galaxy-note/
na mm jinsi ya kuroot samsung galaxy note 1
mkuuu MimiTena umetoaa maelezo mazuri sana... lakini while unawaambia kuhusu hii kitu ya rooting ningeombaa uwajulishe wakati wanafanya rooting... simu iwe charge asilimiaa ngapi... maaana mtu mwingine atakupukaa tuuu ama charge 20% anaanza kuroot....
hata hyo asimia 20 kwa apps kama framaroot inaroot mbona sekunde tu..wala sio kesi kikubwa unaroot kwa kutumia njia gan....
Ooohh nimekupata mkuu... Thanks,, bt naombaa niulize swali ,, nili root simu yangu s4 one month ago.. Bt ishu ni kwamba siwezi kuifanyiaa updates,, napo enda kwenye setting then about phone nikiingia pale kwenye updates software naambiwa : device imekuwa modified so siwezi kuiupgrade,, nimejaribu kuireset mara kadhaa lakini naona bado tatizo lipo pale pale,, bt simu imekuwa rooted 100% (nipo kama superuser),,
Sijui unaweza nipa njia nyingine mkuu... Kama unaifahamu..
Mara nyingi ukisharoot simu inakua huwez ku update kwa style hiyo...njia rahisi kama unataka update ni unatakiwa kudownload firmware ya version husika kisha unaflash kwa kutumia odin then unakua umemaliza mkuu...
thanks mkuu lakini... hii njiaaa si nitapotezaaa vitu vilivyopo kwenye simu yangu nikiwa na maaana apps, (media files) audio, videos na photos....
thanks mkuu lakini... hii njiaaa si nitapotezaaa vitu vilivyopo kwenye simu yangu nikiwa na maaana apps, (media files) audio, videos na photos....
MASTAMIND
hyo ni dalili ya virus wameshaanza kuaffect simu kwanza naweza kukusaidia lakn ningependa kujua sim yako ni aina gan
Matangazo haya yanatokea simu ikiwa iko data on na haitumiki na hasa inatokana na kua na apps za km ile ya refresh na flash keyboard.
Simu yangu GALAXY A7
Hata mimi natumia tecno H6 inatatizo kama hilo, yaani inanikera.MASTAMIND
hyo ni dalili ya virus wameshaanza kuaffect simu kwanza naweza kukusaidia lakn ningependa kujua sim yako ni aina gan