Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

mi nafikiri ili usipate matangazo labda utumie apps za kununua lakini hizi free apps lazima ziwe na ads on. cha ajabu playstore kuna application za ads blocker lakini kama haiuzwi ukidownload unaikuta imeandikwa contains ads.
 
Habari waungwana,
Nimeformat juzi simu/android yangu ila baada ya kuweka tena gogle account kama kawaida na ku download apps kwa matumizi yangu simu imegeuka uwanja wa matangazo!
Yaani haipiti dk. 2 au 3 kabla hayajatokea matangazo. Tena mbaya zaidi mengine yanakuwa makubwa hadi yanaziba screen na hayaondoki hata ukitumia home button.
Pia kuna vi apps vingi vinajidownload vyenyewe yaani simu haina hata raha kuishika. Mb zangu zinawahi kuisha kwa ajili ya hii kitu.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu maana sina hata hamu na hii simu. Hapa naimetumia dk.30 hivi jinsi yanavyosumbua.
Mbarikiwe sana
Unatumia simu gani? Tayar inaonekan una malware humo kweny simu...njia ya uhakika ili kuwatoa ni kuiflash tu
 
Msaada wataalam humu simu yangu nikiwasha data matangazo(ads) yanakua mengi mpaka inaboa jinsi ya kuzui hLi hiyo naomba masaada wadau
 
Yaani Nikisha Washa Data, Simu Inasumbua Sana, Inaleta Matangazo Mengi Mpaka Nashindwa Download Vitu, Yaani ninavyo Bonyeza Iingie Sehemu Fulani, Inaenda Kungine, Yaani Sipendi, Duh!! Haya Matangazo mi siyapendi hata kidogo
 
Samahani mkuu unatumia simu ya aina gani, android/ios??
 
Back
Top Bottom