Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,699
- 2,610
Fuata ushauri kwenye thread hii Msaada: Monkeytest na timeservice kwenye simu yangu ikisindikana hiyo itabidi uinstall firmware upya. Ukifanikiwa kuwatoa achana na kuinstall apk za kudownload mwenyewe na usiroot simu.