ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,018
Nlikuwa na simu ya wife mpaka alitaka kuitupa maana nimehangaika nayo kureset to factory. Ukiwasha data tu yanakuja mpaka inastuck. Dawa hapo nenda kaflash kwanza halafu usidownload kila unachokiona mbele yako