reset ianza mwanzo au unstall apps ainayosababisha iwe hivyo
Ili kuondoa matangazo kwenye simu yako inakubidi kwanza uiroot simu yako. Ukimaliza kuroot download adway au adfree apk kwenye blowser yoyote na uinstall kwenye simu husika. Ifungue hiyo app fuata maelekezo hadi utakapomaliza.
Nipe procedures mkuu wangu please, step by step. Wengine hatupo vizuri sana kwenye haya mambo
Simu yako ni ya aina gani?
Tuanzie hapo ili iwe rahisi kujua tunaroot kwa program ipi.
Mkuu zipo mbili zote hivyo hivyo.
Samsung Galaxy Tab 2 GT-P3100 na
Lenovo S860
How to root Samsung Galaxy Tab 2 GT-P3100.
Kwa Samsung Galaxy tab na Lenovo download Kingroot apk kwenye simu yako , install halafu uifungue app hiyo ikifunguka utaona sehemu yenye kiduara katikati bonyeza hapo iache hadi itakapo leta alama ya vema. Kumbuka kingroot ina maelezo kwa lugha ya kichina usihofu fuata maelekezo.
Akhsante kwa maujanja mkuu, ngoja nitest nione itakuwaje na nitakujulisha haphapa jamvini.
http://androidxda.com/root-samsung-galaxy-tab-2-7-0.
Kwa Samsung Galaxy tab na Lenovo download Kingroot apk kwenye simu yako , install halafu uifungue app hiyo ikifunguka utaona sehemu yenye kiduara katikati bonyeza hapo iache hadi itakapo leta alama ya vema. Kumbuka kingroot ina maelezo kwa lugha ya kichina usihofu fuata maelekezo.
msaada tecno g9 mkuu
Unaulizia kuroot au nini
yap rooting