Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
Hivi huawei y300 inaweza kuwa rooted na hii vRoot bila matatizo?
hao huawei kuna ku unlock bootloader nasikia kabla ya ku root hivo sidhani kama single click apps kama hizo zinakubali
Hivi huawei y300 inaweza kuwa rooted na hii vRoot bila matatizo?
hao huawei kuna ku unlock bootloader nasikia kabla ya ku root hivo sidhani kama single click apps kama hizo zinakubali
Bootloader yangu iko unlocked, nmeijaribu vRoot imekataa
Kwa wale ambao wame root simu zao na kuweka custom recovery, flash hiii http://tinyurl.com/ks93rud kublock adds.
Nimeroot Cm yangu hii custom recovery ni kuajili ya nn mkuu.
- Nimeshafanyia rooting y300 kwa zaidi ya simu tatu
- Kwa kuFuata maelekezo ya kwenye hizi link:
- LINK 1: HUAWEI Y300 SMARTPHONE ROOT GUIDE • How To Unlock And Root Huawei Ascend Y300 (all versions)
- LINK 2: [GUIDE] Ascend Y300-100 (B182) Bootloader unlock, TWRP, Root, Custom ROM flash - Huawei Ascend G510 / Orange Daytona / Y300 - MoDaCo
Maelekezo kwenye hizo link yapo wazi na yanaeleweka, Feedback ukifanikiwa
- Hakikisha umedownload faili zote zinazotakiwa kwanza
- Soma japo mara mbili kwa umakini ndipo uanze zoezi la Rooting
Karibu.
Hivi huawei y300 inaweza kuwa rooted na hii vRoot bila matatizo?
hao huawei kuna ku unlock bootloader nasikia kabla ya ku root hivo sidhani kama single click apps kama hizo zinakubali
Bootloader yangu iko unlocked, nmeijaribu vRoot imekataa
siku zote ukitaka ku-root simu yako simpy google "Y300 root" yaani simu yako ikifatiwa na neno root...
kabla ya kufata hiyo hatua soma comments watu wakitaja shida zilizowakuta
ROOTING ASCEND Y300
- Kwanza hakikisha simu yako siyo netwok locked [ mfano hizi za tigo ni network locked]
- Hivyo kama ipo locked kwa mtandao mmoja ifanyie kwanza unlocking.
- Kisha fuatisha haya maelekezo
Ref:
Thanks, nimeweza fanya rooting succesiful,ila kuna some inbuilt apps ambazo sizitaki,nmefanikiwa kuziondoa chache kwa kutumia Clean Master ila baadhi zmekataa, it's time to block Ads now
- Hongera mkuu kwa kufanikiwa.
- Thanks kwa kutuletea mrejesho
- Je hizo zilizokataa ni zipi?
Nimejaribu kuroot Sony experia z kwa kutumia vRoot na program nyingi kadhaa bila mafanikio. Msaada tafadhali
thanks, nimeweza fanya rooting succesiful,ila kuna some inbuilt apps ambazo sizitaki,nmefanikiwa kuziondoa chache kwa kutumia clean master ila baadhi zmekataa, it's time to block ads now
Offcoz uoga kidogo unakuepo,ila tu cha msingi hakikisha tu kuwa uko aware na kile unachotaka kufanya,usi-attempt kufanya kitu usichokijua au huelewi matokeo yake yatakuaje,ndio maana ukiona mambo ndivyo sivyo lazima tu utadata, anyway further more kuna app iko playstore inaitwa System app uninstaller, imenisaidia kuondoa GTalk na Chrome Pia, na zingine kibao ina uwezo wa kuzitoa na uzuri wake haifuti direct,ila ina recyclebin incase u messed up unaweza retrieve tu ukareinstall.una maamuz thabiti.
Mimi huawei y 220 nime install root master ,na frama root ila nimejaribu frama root nikaelekea kwenye super user habari zikaanza kuja ambazo sizielew lol! Nimeacha huo mchezo wa kuroot .
Ila ilianza kuniletea habari kuhusu android data recovery ...yan ndo nikachanganyikiwa kabisa huku roho juu juu.
Mmmh rooting niliipenda ila uwoga umenipenda zaid
Offcoz uoga kidogo unakuepo,ila tu cha msingi hakikisha tu kuwa uko aware na kile unachotaka kufanya,usi-attempt kufanya kitu usichokijua au huelewi matokeo yake yatakuaje,ndio maana ukiona mambo ndivyo sivyo lazima tu utadata, anyway further more kuna app iko playstore inaitwa System app uninstaller, imenisaidia kuondoa GTalk na Chrome Pia, na zingine kibao ina uwezo wa kuzitoa na uzuri wake haifuti direct,ila ina recyclebin incase u messed up unaweza retrieve tu ukareinstall.
Sasa superuser inakubali na inaandika successfull . Ina nielekeza katika ku re boot.
Nime re boot ila sion kinachoendelea...msaada tafadhal
Huawei Y511-T00 haina preinstalled apps kama vile google+,google play service,google play store almost haisupport apps nyingi za google halafu ina baadhi ya apps za kichina pia naomba kujua jinsi ya kuangalia kama divice iko rooted or not msaada pliziiiiii
Angalia kama kuna App ya SuperUser ipo installed? Au download App za Rootchecker from playstore zita-examine na kukwambia kama your phone is rooted or not,
Mkuu nimedownload root checker nilivocheck inaniandikia kwamba"Sorry!this device does not have proper root access