Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

watu mnapenda apps zinazowasaidia afu hamtaki matangazo wala kupoteza dollar mbili kununua, sasa wanaowatengenezea hizo apps wale wapi?? tangazo lenyewe utakuta moja ila unaboreka kinoma. Aliyetengeneza adblock mjinga, developer mzima anakomaa kublock kitu ambacho developers wenzake wengi wanategemea kama source of revenue, ipe muda tu, with time hata adblock itashindwa kuzuia ads
 
Am sure 80+% ya Watanzania wenye smartphone hawajui hizi Adblock...
Hivo hii isikupe shida ni very few wanafanya hii...
Mm nime research hilo as naishi katika community yenye watu wengi
 
Wakuu hebu nisaidieni jinsi gani nitaweza kutumia ad block plus bila kuroot simu yangu aina ya samsung s4. Nilifanikiwa kudownload ABP lakini kwenye kufanya configure nimeshindwa.

[MENTION]Njuwa Wamavoko[/MENTION] & Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hebu nisaidieni jinsi gani nitaweza kutumia ad block plus bila kuroot simu yangu aina ya samsung s4. Nilifanikiwa kudownload ABP lakini kwenye kufanya configure nimeshindwa.

Njuwa Wamavoko & Mwl.RCT

Adblock Plus | https://adblockplus.org/en/android-install |

Inakubali kwa simu zote, zilizo kuwa rooted na ambazo hazijawa rooted

Cha kuzingatia hakikisha katika settings umeruhusu "installing apps from unknown sources"

Ni adAway | https://f-droid.org/repository/browse/?fdid=org.adaway | ambayo ni lazima simu yako iwe rooted

JF_2015_04_23_08_47_58.png
 
Habarini wakuu naomba mnisaidie kwa anayeweza jinsi ya kutoa haya matangazo yanayojitokeza kila muda ktk simu maana yana kera!
Kwa anayejua tafadhali!
 
yanajitokeza mda gani?

-kama umefungua app flani huku data connection ikiwa on,matangazo yakija, basi njia rahisi ya kuyaondoa ni kudownload pro-version ya hiyo app,,kwa sababu mara nyingi hizo ads huonekana kwenye free-versions.

Pia kuna app za kuzuia hayomatangazo...subiri wakuu waje mi nimeisahau.
 
Ningependa kuijua hio app, ila isiwe issue za ku-root simu tena, coz wengine simu zetu bado zipo kwenye warranty period
 
Ok hio Adaway ni App ambayo naweza kuitumia bila Ku-root simu yangu cc KIOO
 
Ok hio Adaway ni App ambayo naweza kuitumia bila Ku-root simu yangu cc KIOO

adaway lazima uroot Simu...oky ngoja tukusaidie kuchakachua..download blackmart alpha apk then utakua una download apps znazouzwa bure .
 
ikiwa tayar ww ni super user yani uko rooted basi search app. inaitwa ad away
 
Back
Top Bottom