Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Kuna tangazo ambalo kila nikifungua web browser ni lazima lijifungue katika tab nyingine. Yaan ni kero mpaka nashindwa hata kufanya kazi zangu!
Nimeattach screenshots ya matangazo yenyewe.

Simu yangu ni rooted na Adblock nimetumia naona sio effective.
Please your help....
 
Attachments

  • IMG_20150116_080207.JPG
    IMG_20150116_080207.JPG
    50.7 KB · Views: 245
  • IMG_20150116_080241.JPG
    IMG_20150116_080241.JPG
    36.3 KB · Views: 228
Kuna tangazo ambalo kila nikifungua web browser ni lazima lijifungue katika tab nyingine. Yaan ni kero mpaka nashindwa hata kufanya kazi zangu!
Nimeattach screenshots ya matangazo yenyewe.

Simu yangu ni rooted na Adblock nimetumia naona sio effective.
Please your help....

nafikiri haya ya kwenye Browser yanakuwemo kila websites na sidhani kama kuna Adblocks za Browser za simu kama opera mini
just google and see kama kuna adblock za opera mini
 
Matangangazo (ads) yamekuwa kero sana kwenye simu za android pale tu unapotumia simu yako kweye

application yoyote ile. Hii inakuwa kero pale unapocheza game au unasoma ghafla linakuja tangazo.

Njia za kufanya
-Hakikisha simu yako umei-root, kama haufahamu jinsi ya ku-root jifunze hapa
-Baada ya ku-root, nenda kwenye blowser ya simu yako tafuta "adfree" au ipakue hapa
-Baada ya kuishusha (download) install kwenye simu yako, ikimaliza ku-install ifungue fuata maelekezo hadi itakoleta message ya success, reboot simu yako
 
Hii sasa imeshakuwa "siriazi"!!!!!!!! hii L & R ni tatizo la kitaifa....... lakini mpaka kwenye english??????
 
samahani ndugu..tablet yangu haina playstore yani ipo
lkn haifunction kila nikiifungua..mpk imenifanya kutumia one mobile kudownload apps..unaweza kunisaidia nn tatzo maan nimegoogle mpk basi
Fanya mambo mawili
  1. Badili APN katika Access Point - Tumia internet kama APN na isiwe wap
  2. Download latest version ya Play store kupitia hiyo "one mobile"
 
Naombeni msaada simu yangu nimeroot sasa nataka nifanye factory data reset je root itapotea?
 
Back
Top Bottom