The choosen one1
Senior Member
- Dec 13, 2023
- 104
- 436
Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
Kuna dogo mmoja alifaulu la 7 mwaka jana yani kitambi kikaota faster baada ya matokeo, waja tukabaki kushangaa wtf!Mwa Africa anaridhika mapema sana pesa kidogo tu kitambi hicho unakuta ata mtu hawezi kufungua kwamba za viatu
😁 usishangae ndio silika ya waafricaKuna dogo mmoja alifaulu la 7 mwaka jana yani kitambi kikaota faster waja tukabaki kushangaa wtf!
Punguza wanga na masukari. Shukuru unene wako unakuja na kitambi, kuna ambao wamejaliwa makalio.Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
Mwa Africa anaridhika mapema sana pesa kidogo tu kitambi hicho unakuta ata mtu hawezi kufungua kwamba za viatu
Hata mimi huwa nashangaa.Bongo hata wazungu,wahindi na sasa wachina wanakuja wembamba wananenepeana kama nguruwe.
Richard S Mabala alikuja bongo mwembamba tu.