Nawezaje kujiunga Telegram?

Nawezaje kujiunga Telegram?

Lipia tu hamna jinsi. Niliiunstall. Juzi kuna mafile nilihitaji nikainstall upya. Ikadai malipo, eti gharama za sms. Ikabidi kulipia. Tengeneza kadi za mastercard au visa kwenye app za Mpesa, yass nk. Kisha ingia playstore na jaza kadi hizo kama njia ya malipo. Hapo unaweza kurudi telegram au app yoyote na kulipia.
 
Back
Top Bottom