Little Dreamer
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 178
- 149
Habari wakuu, naomba mnishauri katika hili. Niko mbioni kumaliza elimu yangu ya diploma ya Mechanical engineering, na baada ya kumaliza nitahitaji kutumia elimu yangu iweze kunipatia pesa. Je ni shughuli/biashara gani nayoweza kuanzia kwa level yangu ya kielimu?